Malipo ya sensa kwa makarani ni sawa na kote? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malipo ya sensa kwa makarani ni sawa na kote?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by joel amani, Aug 19, 2012.

 1. j

  joel amani Senior Member

  #1
  Aug 19, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huku Mbozi makarani kwenye semina ya siku saba wanalipwa 35 elfu kwa siku,sijajua siku za kazi ambazo itakuwa siku saba je tutalipwa sh ngapi kwa siku? Jumla ya fedha zote kuanzia semina mpaka kumaliza zoezi itakuwa sh ngapi? naomba anayefahamu anijuze mana nami ni karani
   
 2. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  acha uvivu piga hesabu..ni hivi ..semina siku 7 @ siku sh 35000,...kusurvey kwenye EA yako siku 3 kabla ya sensa kila siku 35000,...zoezi lenyewe siku7 kwa siku sh. 35000,.....jumla 595000 hii ni kwa dodoso fupi....baada ya hapo jiandae kwa zoezi la vitambulisho vya taifa
   
 3. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,562
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Tatizo lako nini? Wewe kula hela ya kodi zetu wafanyakazi.Mfano ukijua kuwa Dar Es Salaam wanalipwa laki kwa siku utafanya nini? Utagoma kupokea hizo 35k? Au unataka kutujulisha kuwa umepata ukarani wa sensa? Mimi na walimu wenzangu ujue inatuuma hivyo, ebo!!
   
 4. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  .
  Hapo kwenye red sio sahihi, kazi hiyo haina malipo.
   
 5. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kwani makarani watapewa tena uandikishaji wa vitambulisho vya taifa?
   
 6. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #6
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  yap..NIDA watahusika makarani wa sensa
   
 7. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #7
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  ni kweli mkuu....ila mwanzoni kwenye semina walitueleza watalipa
   
 8. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  mkuu naomba utaratibu na mm niombe
   
 9. p

  pua kubwa Member

  #9
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa kafanya kosa gani wewe kukosa hyo chance. Acha roho ya korosho
   
 10. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #10
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  kama umechaguliwa kuwa karani wa sensa ...ndo utahusika na NIDA hakuna maombi mkuu.....ukimaliza zoezi la sensa unaunga NIDA
   
 11. Mutta

  Mutta Senior Member

  #11
  Aug 23, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona uandikishaji wa vyeti vya uraia hapa DSM tayari? Au uandikishaji unarudiwa?Pia huku Dar zile siku 3 za kusurvey na kujaza Dodoso la jamii hakuna malipo.Ambaye amelipwa atujuze.
   
Loading...