Tetesi: Zoezi la sensa vs vitambulisho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tetesi: Zoezi la sensa vs vitambulisho

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by dotto, Aug 23, 2012.

 1. d

  dotto JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa wale watakaosimamia zoezi la sensa ya watu na makazi ndo hao hao watakaoshiriki katika kutoa vitambulisho. SAsa wale jamaa sugu wa kukataa kuhesabiwa hoja yao kwisha habari!!
   
 2. africa6666

  africa6666 JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 281
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Huo tunaita ni uvivu wa kufikiri, haiwezekani sababu hizo ni mamalaka mbili tofauti na zina majukumu tofauti, pia mchakato wa vitambulisho ni mkubwa kuliko wa sensa.
   
 3. KAZIMOTO

  KAZIMOTO JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 1,073
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa maana ingine wale watakaogomea sensa hawatapata vitambulisho vya Taifa ( vitambulisho vya uraia)
   
 4. d

  dotto JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Anayefikiria zaidi hapa ni nani; ambaye hataki kuhesabiwa na anataka vitambulisho au anayetaka watu wote watakaohesabiwa na wapate vitambulisho. Utawezaje toa vitambulisho bila kujua idadi ya watu ulio nao nchini kwako!!??
   
 5. MAVUNO

  MAVUNO JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Hivi kuwa raia mpaka uwe na kitambulisho? na kama hauna utahamishiwa wapi?
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hata mimi nilishawahi kufikia juu ya uwezekano wa ku'couple mazoezi haya mawili ili kufuta uwezekano wa hawa jamaa waliopanga kuvuruga sensa kufanikisha nia yao.
  Shida ni kwamba suala la vitambulisho linahitaji siku nyingi sana, wakati sensa inadumu kwa wastani wa wiki moja tu. Ni ngumu khesabu watu, at the same time ucheki details zote zinazotakiwa kwenye kutoa kitambulisho cha uraia.

  Lakini ingewezekana hii, ingekuwa ndiyo tiba ya muda ya suala hili!
   
Loading...