Tahadhari kwa uvccm.

Status
Not open for further replies.

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
428
Ili kuepuka yale yaliomtokea Masauni(aliekuwa mwenyekti wa UVCCM) kujiuzulu kwa kosa la kudanganya umri naomba kutoa tahadhari kama raia mwema kwa UVCCM kuepuka kosa hilo lisitokee na mwaka huu tena,....kuna ngudu zangu wawili ambao nawafahamu kiundani na wamechukua fomu za kuomba uteuzi ambapo wamefoji umri zao ili waweze kupitishwa katika uteuzi..JERRY SLAA Na MAVUNDE ni marafiki zangu sana ila katika hili wamepitiliza Mavumde nimesoma nae primary,Jery pioa ni rafiki yangu through my bro ambae alisoma nae,kwa kifupi nawafahamu sana sana , ..nomba UVCCM muwe macho na birth certificate zao wametengeneza kwa maana ya kufoji hivyo ni vyema Polisi wahusishwe ili waweze kufanya uchunguzi wa fojari which is contraly to penal code.
 
Registered
18 Aug 2012

Umetumwa weweee ?
Sasa Antony 'taasisi' ana ukubwa gani ?
Usitumiwe kibwege..

Alaf huyu Mavunde kwa nini hakupewa ukuu wa Mkoa/Wilaya kipindi ..ama alikataa ndo alikuwa anajipanga kwa hii..

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
kawaida kwa magamba jamaa zee zima linadai linamiaka 22!!!!!
lakin ndo mlivyo maana wakuu wenu wenyewe magumashi.nouma.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom