Hivi hapa tz kuna kitu au bidhaa inayotengeneza yenye thamani ya mil 5?

Mozila

Senior Member
Mar 23, 2012
174
47
Ni bidhaa gani hapa tanzania ambayo ni made in tz ina thamani ya milion 5? Tusaidiane jamani
 
Ndio,product zetu zipo ktk makaratasi na mikataba ambapo ni ya iptl,richmond
 
Ndio,product zetu zipo ktk makaratasi na mikataba ambapo ni ya iptl,richmond

Mkuu zipo Juzi nilikuwa nane nane nikakuta Bidhaa wanatengeneza jamaa wa Carmatec,Temdo,na Sido zina Thamani mpaka ya Millioni kumi na tano ni made in Tanzania
 
Back
Top Bottom