Madale kwalipuka, ofisi ya CCM yavunjwa FFU kuongezwa wananchi mishale na mapanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madale kwalipuka, ofisi ya CCM yavunjwa FFU kuongezwa wananchi mishale na mapanga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanaharakatihuru, Aug 22, 2012.

 1. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu hali kutoka huko sio nzuri kama kuna mwenye mawasiliano na rais amwambie mambo ya South Africa yanendelea. Tunahitaji msaada wa redcross asap watu wanakufa.
  Naripoti kutoka mstari wa mbele
   
 2. Z

  Zungu Pule JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 2,139
  Likes Received: 682
  Trophy Points: 280
  Ni nini chanzo cha ugomvi huo? Kama hutajali, tafadhali toa maelezo zaidi kuhusu tukio hilo.
   
 3. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,110
  Likes Received: 10,463
  Trophy Points: 280
  Mods changanyeni hii post... ila poleni sana.
   
 4. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Halima Mdee popote ulipo njoo madale hali ni mbaya casuality ni kubwa sana I am count bodies here!
   
 5. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Nini tatizo????????
   
 6. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kazaroho hali ndio mbaya zaidi
   
 7. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,402
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Huwa hatusikilizi kilio tunasikiliza fact ndugu ucwe kama mtoto mchanga anayelia bila kusema nini kinamliza sema tatizo ni nini?
   
 8. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mkuu, unahesabu miili ya majeruhin ama waliofariki?? so sad!
   
 9. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #9
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  JK hajasafiri kikazi kweli au bado yuko magogoni?
   
 10. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #10
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35

  Kazaroho ipi Mwanaharakatihuru? ile ya Tabora au?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #11
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  MAPEPARI WANATAKA KUCHUKUA MAENEO YOTE BU I PROMISE YOU WE WILL DEFEAT YOU, Na kwa taarifa yenu asilimia kubwa ya wakazi wa huku ni wanajeshi sasa kuna mkakati wa kwenda kuiba silaha amari kujibu mapigo
   
 12. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #12
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huku madale
   
 13. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #13
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,402
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Hao ni wavamizi wa maeneo ya watu wanaondolewa na serikali sababu waliamuliwa na mahakama watoke wakakataa na ardhi wanayokaa siyo yao ni ya wananchi wengine kwa hiyo serikali inachukua hatua zaidi
   
 14. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #14
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,297
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 280
  Poleni sana mkuu. Hata hivyo, andika kiswahili usomeke zaidi.
   
 15. k

  kuzou JF-Expert Member

  #15
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Polisi wamekuja kuwandoa wavamizi nakuvunja nyumba zao ndo chanzo cha yote
   
 16. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #16
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mbona hamsemi nini chanzo cha vurugu hizo?? toeni details basi tuelewe vizuri
   
 17. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #17
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,402
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Serikali inawatoa watu ambao wamevamia ardhi ya watu tu na c vinginevyo na hao wavamizi wameanzisha vurugu kupigana na askari kwa kutumia mapanga na mikuki
   
 18. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #18
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Kwani kulikuwa na tatizo gani huko Madale?
   
 19. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #19
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,297
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 280
  Hata wakurya wa Nyamongo wanaambiwa ni wavamizi, na wenye haki na ardhi na madini ya Nyamongo ni wazungu toka ughaibuni. Ndiyo bongo tunayoijenga.
   
 20. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #20
  Aug 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Kumbe umegundua mimi nilishagundua siku nyingi.Mkulu anatarajiwa kwenda kumzika Melek Zanawi wa Ethiopia, damu za watanzania lazima zimwagike kabla hajaondoka.Mbona kazi tunayo hadi 2015
   
Loading...