Kesho rais jakaya kikwete atawapandisha vyeo maofsa wakuu wa jeshi kwa vyeo vya namna mbili ikulu ya dar es salaam,
Kuna maofsa wakuu 14 watapanda kutoka brigadier generals kua major generals...
nimeshtuka sana niliposikia Kikwete anaandika vitabu,naomba kujua kama kuna watu watavisoma au ni mawazo yangu,kwa jinsi watu wanavyo look down on him vitapata soko?je unafikiri ataandika nini...
Ofisa huyo alitokea kwenye picha ambayo ilipigwa na mwandishi eneo la tukio la ajari mbaya kati ya tanker la mafuta na basi la abiria liloua watu takriban 36,Serikali ya China ilichukizwa na...
Watanzania kwa kila jambo hulinganisha na usa,siasa,uchumi,presidential level,maendeleo. Hivi kweli usa ndo iwe kioo chetu.nchi ambayo kampeni zake sio maji,umeme,barabara,zahanati ndo tuiige?
Ikiwa ni baada ya miezi miwili kupita tangu mgomo wa madaktari uliopelekea kutekwa,kuteswa na kutupwa kwenye msitu wa Mabwepande.Hali bado siyo shwari katika hospitali nyingi nchini..! Leo...
ASEMA ALIPONZWA NA UGUMU WA MAISHA,
AJUTIA NDOTO YAKE YA UDAKTARI KUYEYUKA
NDOTO za Happiness Mzalendo (18) kuwa daktari zimeingia dosari, baada ya kushindwa kumaliza kufanya mtihani wa...
Takribani miaka 15 toka kampuni ya miyombo ilipo kufa tumepata wawekeza wawili wa kutukodishia mashamba ili tulime,mwaka huu tumezuiwa kufanya lote na kuambiwa kuna muwekezaji mpya anaye taka...
Woman Delivers Stone Baby After 60 Year Pregnancy In a bizarre turn of events straight out of Mr. Ripleys personal files, comes this true story of a 92-year-old woman who delivered a child...
habari jf,naomba nijitangaze katika safu hii kutafuta kazi ya kuajiriwa ili nijikimu kimaisha,nina miaka 28,nimeliza form 6 mwaka 2006 ndiyo kiwango changu cha elimu kilipoishia hapo,nimeshawahi...
Wana-JF ningeomba tuliangalie hili. Japo ni tetesi, lakini kuna msemo usemao "Lisemwalo Lipo,kama Halipo Linakuja". Kipindi kile cha awamu ya tatu ya utawala wa Chama Cha Mafisad-CiCiM kulikuwa na...
Kwa wafanyabiashara wengi wa biashara ndogo na za kati watakubaliana nami kuhusu upatikanaji wa sarafu za sh 100 na sh 50.
Kwa kweli tunaiomba serikali itengeneze hizo sarafu kwani tunapata...
Kwa muda mrefu nimekuwa najiuliza kwa nini majeshi yetu i.e Jwtz,polisi,magereza wanalazimisha kuajiri watu warefu peke yao?hii imekuwa kama ukiukwaji wa haki za binadamu,watu wafupi waliowengi ni...
Hii hali sio shwari wiki iliopita kuna gazeti liliandika mgao wa umeme umeanza Tanzania bila ya taarifa yoyote kesho yake Tanesco walitangaza kupitia vyombo vya habari kwamba hizo taarifa ni za...
Wadau hebu kwa nafasi yako katika jimbo lako mbunge anastahili kurejea Bungeni kuendelea kukuwakilisha kama ukiitishwa uchaguzi. Tuwe wa kweli kwa kuwachambua jinsi wametumika kwa miaka miwili...
It should be our pride to live in a dignified country. We must continually tell the story of our country, because if we dont, someone else will do it the wrong way. That was the rallying call...
Kuna watuhumiwa wafanyakazi wa swissport wamefikishwa kituo cha polisi cha airpot kwa kupatikana na mzigo wa simu za mikononi zilizotokea dubai na kushindwa kupokewa hapo airpot na mwenye mzigo...
Nimejaribu kutafakari kwa muda juu ya namna gani serikali inaweza kupambana na swala mpango mji na kufanikiwa kwemye nchi kama tanzania ambayo kwa kiasi kikubwa watu wengi hawawezi ama hawapendi...
Ni muda mrefu sasa tangu Kova alipotutangazia kuwa mtuhumiwa wa shambulizi la Dr Ulimboka amekamatwa na kufikishwa Mahakamani.Mwenye taarifa ya nini kinachoendelea katika kesi ya Jeshua Mkenya...