utafiti wangu mdogo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

utafiti wangu mdogo.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mtwevejoe, Sep 23, 2012.

 1. m

  mtwevejoe Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asilimia 90 ya wafanyabiashara kariakoo ni wezi na wanafanya biashara zao kimagumashi.
   
 2. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,550
  Likes Received: 9,278
  Trophy Points: 280
  wangu unasema 50% ya maduka ya kariakoo kwa nje kuna chizi au mtu anayemumunyamumunya maneno yasiyoeleweka....
   
 3. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,001
  Likes Received: 562
  Trophy Points: 280
  kwaiyo tufanyeje ndugu yangu, tuache kununua vitu kariakoo au?? Tafuta hoja inayojadilika
   
 4. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,390
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kama wanafanya za kimagumashi kwani TBS ipo wapi kwa nini wasikamatwe
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,472
  Likes Received: 9,871
  Trophy Points: 280
  Katika watu watano unaopishana nao kariakoo, wanne ni wezi na mmoja ni tapeli
   
 6. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 769
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 60

  Hakyanani wewe ni nouma. ila cha ajabu ndo watanzania wengi waishio na waendao kwenye jiji la DAR wanapapenda sana hapo Kariakoo. Je ni kwa sababu nao ni wezi au huwa wanafurahia kutapeliwa???

   
 7. 50thebe

  50thebe JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 1,787
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  huu utafiti nimeukubali wala ushahidi siutaki....!
   
 8. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hii ni kawaida kwa serikali iliyoenda likizo. Wafanya biashara kutolipa kodi na wezi kujaa mitaani kiasi kwamba raia huchukua sheria mkononi.
   
 9. m

  mtwevejoe Member

  #9
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mimi ni mfanyabiashara mdogo,nilikuwa nikitaka kuhamishia biashara zangu kkoo,lakini nilichokigundua ndio hicho,kkoo bila magumashi huwezi kufanikiwa labda uwe mwizi au uwe mkwepaji sana wa kodi
  .
   
Loading...