natafuta kazi ya kuajiriwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta kazi ya kuajiriwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by joel amani, Sep 24, 2012.

 1. j

  joel amani Senior Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari jf,naomba nijitangaze katika safu hii kutafuta kazi ya kuajiriwa ili nijikimu kimaisha,nina miaka 28,nimeliza form 6 mwaka 2006 ndiyo kiwango changu cha elimu kilipoishia hapo,nimeshawahi kuwa mjasiriamali,kuajiriwa kwenye sekta ndogondogo,naomba yoyote anayesikia tangazo la kazi anijuze
   
 2. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  uko nchi gani na state gani?
   
 3. j

  joel amani Senior Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nipo tanzania mkoa wa sumbawanga kwa sasa napatikana katika harakati za kutafuta maisha lakini ni mwenyeji halisi wa mbeya
   
 4. ma2mbo

  ma2mbo JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  kwa nini usijiajiri tu mkuu coz kwa elimu yako ukisema uajiriwe utalipwa pesa mbuzi sana..mfano ulipwe laki 3 ukiigawa mara 30 ni elfu kumi per day si bora uendeshe bajaji ukikosa sana buku 25 per day hapo mwenge mara 30=laki 7.5 per month.
   
 5. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Uchita chani mlumendo, nsuma namasumo mwanamosi.Kazi zimekua issue sana lakini kwa ushauri wangu kuna miradi ya barabara huko kwetu Rukwa ambayo unaweza ukafuatilia na ukapata chochote.Mfano barabara ya kuanzia Tunduma kupitia Laera mpaka Sumbawanga mjini inajengwa kwa kiwango cha rami so pale ukiulizia na kutafuta connection lazima upate kazi. Mbali na hiyo kuna barabara ya Sumbawanga kuelekea Mpanda mkandarasi tayari ameshaanza kutokea Palamawe kuelekea Kibaoni kwa mzee Mizengo Pinda so fuatilia na huko.Hayo ndo mawazo yangu but kwa elimu hiyo kama unataka white cooler job ni issue maana hata wenye madegree wanatamani kwenda hata Namtumbo na Nanjilinji hawapati
   
 6. j

  joel amani Senior Member

  #6
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nashukuru kwa ushauri wako mkuu,ningependa hiyo kazi ya barabarani ila ningepata mtu wa kuniunganishia mana c unajua hapa tz hata kazi za house girl ni za kuanganishiwa na refa,kama kuna yoyote anaweza kunipigia pande naomba anisaidie
   
Loading...