baba junior
Senior Member
- Sep 21, 2012
- 143
- 30
nini maana ya STK ktk magar ya serikali?
Mkuu hiyo namba STK ni mwendelezo wa namba ST= Serikali ya Tanzania.................. maana ilianza ST, STA......STG, STH, STJ na sasa ni STK na hizo namba zikifika mwisho itaingia STLnini maana ya STK ktk magar ya serikali?
Mkuu hiyo namba STK ni mwendelezo wa namba ST= Serikali ya Tanzania.................. maana ilianza ST, STA......STG, STH, STJ na sasa ni STK na hizo namba zikifika mwisho itaingia STL