Je! Kuna Uhusiano Wo wote Baina ya Uporaji wa Mabenki na Chaguzi Kuu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je! Kuna Uhusiano Wo wote Baina ya Uporaji wa Mabenki na Chaguzi Kuu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by M.L., Sep 25, 2012.

 1. M

  M.L. Senior Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana-JF ningeomba tuliangalie hili. Japo ni tetesi, lakini kuna msemo usemao "Lisemwalo Lipo,kama Halipo Linakuja". Kipindi kile cha awamu ya tatu ya utawala wa Chama Cha Mafisad-CiCiM kulikuwa na ujambazi wa kutisha wa kuvamia na kupora mabenki. Benki zilizoathirika zilikuwa crdb na nbc. Wizi wa nbc-ubungo ndio uliotia fora. Majambazi wakapora benkii; wakaingia barabarani, barabara ilikuwa shwari, (wakati kwa kawaida ile ni barabara iliyo-busy through-out 12 hours of day time), majambazi hao wakatokomea. Milioni 800 zikasadikiwa kuporwa. Eti, (sijui kama ni kweli), yule askari-trafiki aliyejaribu kuzuia gari la majambazi wakitokomea pale mataa ya ubungo, aliambiwa na wakubwa wake; 'ulichotaka kufia ni nini? Fedha za benki zimekatiwa bima!

  Hoja zikajengwa wakati huo, baadhi wakadai kuwa ule ulikuwa ni mpango mahususi wa kutafuta fedha kwa ajili ya chaguzi. Sijui kama ilikuwa kweli. Mwezi huu wa Septemba kuna benki imeporwa huko jijini Dar es Salaam. Waporaji hawakuacha trace wametokomea.

  Je! Hii haiwezi kuwa mwanzo wa uporaji wa mabenki kuelekea 2015? Naomba kuwasilisha.
   
 2. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hao ni wezi toka kenya
   
 3. k

  kilaboy Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 25
  Nilikuwa nimestuka tu toka usingizini nikakuta hii habari, i will be back
   
Loading...