Serekali ituweke wazi mliki wa mashamba ya miyombo estate kilosa ni yupi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serekali ituweke wazi mliki wa mashamba ya miyombo estate kilosa ni yupi.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by McEM, Sep 24, 2012.

 1. McEM

  McEM Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Takribani miaka 15 toka kampuni ya miyombo ilipo kufa tumepata wawekeza wawili wa kutukodishia mashamba ili tulime,mwaka huu tumezuiwa kufanya lote na kuambiwa kuna muwekezaji mpya anaye taka kulima zao la mtama. Sasa hii mikataba mbona haieleweki ikoje ?.
   
 2. Z

  ZIMBOO Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hacheni ujinga watz mwaka 67 mwl nyerere alitaisha mashamba nakumilikiwa na watz wenyewe chini ya serekali huru pili kikatiba shamba lisipoendelezwa kwa 5yrs na kutoinufaisha jamii mwekezaj hupolwa ikoje kilosa kuna mchwa hapo wapaswa valisha gwanda
   
 3. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,588
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Diwani wa kata hiyo ametoa jibu gani?
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  mmiliki ni mimi, haya, wasemaje
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mdau kuanzia mashamba ya kimamba,madoto,rudewa,MAZULIZ(MAGOMENI) NA ROZI,hayo yote ya wakubwa,hakuna cha mwekezaji wala mwezeshaji,utakuja kusema hapa,muulize mbunge wakoambaye ni mbunge wa MIKUMI
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Kilosa mkulo ameiaribu sana kote huko hadi msimba mapori tupu,kituo cha utafiti ilonga,chuo cha mati kilimo wote wanacheza viduku! Mkulo ameiaribu kilosa!! Wakiweza kuutumia mto mkondoa kwa kilimo hakika mashamba ya Magomeni kilosa yangeweza kulisha tz nzima....
   
Loading...