Kuna umuhimu wa kutunga sheria ya kiwango cha mwisho cha kukata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna umuhimu wa kutunga sheria ya kiwango cha mwisho cha kukata

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Livanga, Sep 24, 2012.

 1. Livanga

  Livanga JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 458
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Nimejaribu kutafakari kwa muda juu ya namna gani serikali inaweza kupambana na swala mpango mji na kufanikiwa kwemye nchi kama tanzania ambayo kwa kiasi kikubwa watu wengi hawawezi ama hawapendi kufuata sheria.
  Nafikiri kuna umuhimu wa serikali kuweka kiwango cha chini cha ukataji wa viwanja hii itasaidia sana kuepusha msongamano na kukosekana njia za dharura. Kuna sehemu nilikwenda kwa kweli sikutegemea kukuta viwanja vimekatwa hadi 10x20 jaribu kutafakari kwa kina hapo si patakuwa kama tandale hapo baadae?

  Je nyie wana JF mnanonaje juu ya swala hili?
   
Loading...