Nipeni Updates za Kesi ya Joshua Mkenya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nipeni Updates za Kesi ya Joshua Mkenya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chenge, Sep 24, 2012.

 1. Chenge

  Chenge JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 1,077
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Ni muda mrefu sasa tangu Kova alipotutangazia kuwa mtuhumiwa wa shambulizi la Dr Ulimboka amekamatwa na kufikishwa Mahakamani.Mwenye taarifa ya nini kinachoendelea katika kesi ya Jeshua Mkenya anijuze tafadhali.
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  hivi kuna mtu anaweza kupoteza muda wake kufatilia hiyo movi la kichina..
   
 3. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Mtayarishaji kaishiwa kidogo anasubiri wawekezaji ili aweze kutoa part 2 !!!
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Hata matokeo ya tume yenyewe kimyaaaaaa. Ndivyo movie ilivyokwisha hivyo!
   
 5. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Kwanza Ulimboka yeye mwenyewe yupo wapi
   
 6. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #6
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  kaizaa,hahahaha
  upepo umepita
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Ndo manake mkuu!!!!!
   
 8. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kova akiona mnakumbushia hivi roho inampasuka paaah!
   
Loading...