Wengi watadhani ninachokiandika hapa ni cha kijinga ila vyombo vya habari vya Tanzania vina tia Aibu. Kazi ya vyombo vya habari ni kupasha habari jamii hasa pale habari zozote muhimu au mbaya...
Jumuiya Ya Uamsho na Mihadhara Ya Kiislamu Zanzibar
TAMKO LA JUMUIYA LITATOLEWA LEO.
Mpaka sasa hakuna dalili yoyote kama Amir Farid ataonekanwa.
Lakini wajue hapatakalika tena hapa...
Kwa mtazamo wangu, kufuatia kukamatwa na kufikishwa mahakama leo kwa Ponda na wenzake na kukosa dhamana, si ajabu, kesho baada ya swala ya Ijumaa, yakazuka maandamano makubwa kushinikiza Ponda na...
Wakuu tumepiga kambi hapa kanisani kwetu Kariakoo Lutheran baada ya walinzi wetu kuomba waongezewe nguvu kwa kuwa wanahisi kuna watu wanataka kuchoma moto kanisa hili
sisi kama washarika na...
Watu wasiofahamika walivamia kanisa la Faraja Gosper Church lililoko maeneo ya Kiwalani, walivamia kanisa hilo
ila kwa bahati nzuri walipambana na walinzi wa kanisa hilo lakini katika mapambano...
Wapendwa wakristo na waislam wenye moyo safi napendekeza kwamba kupitia serikali za mitaa na makanisa tuweke ulinzi wa kutosha ikipidi kutumia silahi dhidi ya wachoma makanisa.
Wana Jf,
Watanzania tunapenda kusononeka pale mambo yanapoharibika na baada ya muda mfupi tunasahau na kusonga mbele na mizigo yetu ya maisha yasiyo na matumaini.
Sakata la ufisadi,migomo ya...
Vodacom wamekuja na ofa mpya ya Super Cheka Internet ambapo wanaitangaza kwamba ni masaa 24. Lakini cha ajabu ukijiunga muda wowote ule, mwisho wa ofa ni Saa sita usiku.
Ina maana ukijiunga saa...
Kwa siku kadhaa jiji la Mwanza limekumbwa na zoezi linaloendeshwa na TRA kwa kushirikiana na Madalali.
Jambo la ajabu magari yanayodaiwa hayajalipia motor vehicle licence wengi wanazo nyaraka...
I seriously get bored na hawa watu. Ukiwa unatuma msg bila kujiunga extreme, zinakwenda sawa. Soon ukishajiunga, msg zinaanza kugoma na kusumbua. Unaweza mtumia mtu msg leo, ikamfikia kesho yake...
Wiki iliyopita washkaji zangu wawili walipata mkataba wa miaka 3 namibya kwa mshahara mnono,jana jamaa wangu wa karibu pia ameitwa botswana kwa mkataba wa miaka 5 na mshahara wa kutakata.hakuna...
Leo nilikua nasubiria daladala ya kunipeleka mahali fulani. Ghafla wakatokea waislamu kama sita ivi wote wamevaa kanzu.Nao walikua wanasubiria usafiri. Nilitaka niahirishe safari. Nilijipa...
Risasi simerindima nmb tawi la sokoni baada ya mtu anadhaniwa kalewa kuleta furugu ndani ya benk ya nmb ndipo masikari wanalinda benk hiyo walipo mkamata baada yakukamatwa alianza kungangana nao...
Wakiripoti mazishi ya kamanda Barlow wamesema kuwa alipigwa risasi na watu wasiofahamika (instead of majambazi kama polisi walivyotuambia mwanzo).
Nimependa utoaji habari wa aina hii, angalau...
Utafiti umefanywa na kudhihirisha kwamba chakula cha GM (Genetically Modified) vina madhara makubwa kwa wanadamu. Ikumbukwe kwamba hapa Tanzania viongozi wamekuwa wakitetea GM foods ili kuongeza...
'' Huku dunia ikiwa na wasiwasi kuhusu hali ya baadae waafrika zaidi ya bilioni 1 wanasherehekea kwa kunywa cocacola'' hili tangazo huwa zuri sana lakini hapa mwisho huwa silielewi kabisa.
Sipendi kuita mabwege ila napenda kusema hili swala la udini lnapoelekea ni pabaya
napenda kusema hili ndugu zangu watanzania namaanisha wakristo na waislamu
akuna dhambi kama kubaguana kidini...
Imekuwa patashika mida hii mitaa ya tabata reli mpaka aroma hapa dar watu wanakimbizwa na kuumwa na nyuki, wanaingia mpaka kwny magari, jamani tanzania hii, kila kona rabsha.