Kariakoo Lutheran!!Kweli Wakristo ni wana kondoo!

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,442
Wakuu tumepiga kambi hapa kanisani kwetu Kariakoo Lutheran baada ya walinzi wetu kuomba waongezewe nguvu kwa kuwa wanahisi kuna watu wanataka kuchoma moto kanisa hili
sisi kama washarika na wafadhili wakubwa wa kanisa letu tumeamua kupiga kambi kila mtu akiwa tayari kupambana ili kuzuia mali zetu zisiharibiwe na hao waabudu shetani
kiongozi mmoja wa kanisa letu amekuja na kutuonya tusitumie silaha kupambana na hao waabudu nanihii eti akidai Yesu alisema mtu akikupiga shavu la kushoto haraka sana mgeuzie na la kulia
kwa kweli kama hali ndiyo hiyo ya wakristo kuchomewa makanisa yao ambayo wao wenyewe ndio wafadhili na wajenzi itakuwa ni jambo la kushangaza kwa sababu wanaumia wenyewe
naomba kuuliza tangu lini mungu akawa rafiki wa watu dhaifu????kwa nini wakristo tunakaa kimya tusijibu mapigo??tutaonewa mpaka lini silaha na elimu sisi ndio tumerithi kwa baba zetu
huu ukondoo sikubaliani nao hata kidogo
 
hawa watu hata sijui wana matatizo gani
 
Biblia inatufundisha Upendo, Kusamehe na Kuvumiliana. Quran inawafundisha jino kwa jino. Hapo ndo kuna tofauti SANA
 
Wakristo tusiwe wanyonge kiasi cha kushindwa kutetea mali zetu zisiharibiwe. Kulinda na kuzuia uharibifu wa mali zetu si dhambi, umefika wakati wa kupambana ili kulinda mali zetu na sio kwenda kupigana nao kwenye misikiti yao. Kwa maana kwamba kama unawaona wanakuja kanisani na kuanza kuharibu ni sawa kabisa kupamba nao. Ukristo si ujinga.
 
Kuwa mkristu maana yake ni kuwapenda watu wengine wakiwemo adui zako. Kwani ukiwapenda jamaa na rafiki zako tu, ndivyo hata mtenda dhambi hufanya. Kwa hiyo Jino kwa Jino siyo njia nzuri kwani unayepambana naye yu gizani. Sala na maombi ndo yataepusha hizi vurugu.
 
Kuna haja mmoja akikamatwa achomwe au wakristu nao waanze choma misikiti
 
Wakuu tumepiga kambi hapa kanisani kwetu Kariakoo Lutheran baada ya walinzi wetu kuomba waongezewe nguvu kwa kuwa wanahisi kuna watu wanataka kuchoma moto kanisa hili
sisi kama washarika na wafadhili wakubwa wa kanisa letu tumeamua kupiga kambi kila mtu akiwa tayari kupambana ili kuzuia mali zetu zisiharibiwe na hao waabudu shetani
kiongozi mmoja wa kanisa letu amekuja na kutuonya tusitumie silaha kupambana na hao waabudu nanihii eti akidai Yesu alisema mtu akikupiga shavu la kushoto haraka sana mgeuzie na la kulia
kwa kweli kama hali ndiyo hiyo ya wakristo kuchomewa makanisa yao ambayo wao wenyewe ndio wafadhili na wajenzi itakuwa ni jambo la kushangaza kwa sababu wanaumia wenyewe
naomba kuuliza tangu lini mungu akawa rafiki wa watu dhaifu????kwa nini wakristo tunakaa kimya tusijibu mapigo??tutaonewa mpaka lini silaha na elimu sisi ndio tumerithi kwa baba zetu
huu ukondoo sikubaliani nao hata kidogo
Tuliza mzuka na tumia busara. Hao shetani wasikupeleke wanapotaka uende. Mmetoa taarifa polisi watoe ulinzi?
 
Masuala ya dini huwa n makubwa sana especialy linapokuja suala la vita...kumbuka its very easy to start a war but very difficult to end it, hivyo n busara hasa ndo inatakiwa kufuatwa hapa, n afadhali ingekua vita kukiondoa chama madarakan naweza shabikia kwa sasa, but vita ya dini " VITA TAKATIFU" Hurithiwa vizaz na vizaz...
 
Dah kwakweli hawa jamaa sijui wanatutaka kauli gani? Sisi sio wakorofi kama wao na hatuna ushetani kama wao.
 
Hii thread inataka tafakuri ya upeo wa juu sana na sio jaziba. Hivi ni kweli bwana wetu Yesu alitufundisha tusijitee? Najua yeye huwa anajipigania mwenyewe kwa vile yuko hai na mamlaka ni yake, lakini kweli tuchangishane kujenga kanisa,kununua furniture,vifaa na mambo mengine kwa muda mrefu na kujinyima kwingi kisha turuhusu watu wenye fikra za shetani watumie dakika 10 tuu kuharibu vitu vyetu NA SISI TUKODOA MACHO?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kinachfuatia ni kujifunga mabomu sasa na nawahakikishia hili haliko mbali,na namuomba sana Mungu wakristo wasiwajibu kwa chochote
 
Mkuu acha uongo basi mbona mnapenda kukuza mambo hili Kanisa lina miaka hapo Kariakoo lipo katikati ya nyumba za Waislam hapo mtaa wa Masasi, Lukoma, na Magila na Lukoma, miaka yote wanaishi kwa upendo acha kusambaza chuki.
 
Watu wanapitapita hapa wakiangalia kanisani lakini tumezingira kanisa na tumeapa kupambana mpaka tuone mshindi,wengine wameamu kwenda msimbazi polisi kutoa taarifa sijui kama watakuja au la
 
Inawezekana hawa wenzenu walishajiandaa kama wahutu na watusi huko ukashtukia manga tu yanatembea nyie mnasubiri kugeuza shavu la pili
 
kama kuna mtu ana shuttle kuelekea MARS, naomba lift! nasikia harufu mbaya na cjui ni nini kinanuka nchini mwangu! mwenye usafiri please PM mi!
 
Mkuu acha uongo basi mbona mnapenda kukuza mambo hili Kanisa lina miaka hapo Kariakoo lipo katikati ya nyumba za Waislam hapo mtaa wa Masasi, Lukoma, na Magila na Lukoma, miaka yote wanaishi kwa upendo acha kusambaza chuki.
Ritz,hilo la chuki ndilo watu wanajiuliza limeletwa na nani wakati watu walikuwa wanaishi kirafiki,kusaidiana hata kukopeshana mtu akikwama bila kujali dini. Na uhakika Ritz sio kijana mdogo hayo unayafahamu vema toka enzi hizo. Sasa nani kawaloga?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
They are ready to kill us on defending of their faith, we are ready to die on defending of our faith
 
Mkuu acha uongo basi mbona mnapenda kukuza mambo hili Kanisa lina miaka hapo Kariakoo lipo katikati ya nyumba za Waislam" hizi vurugu zenu za kuchoma makanisa zmeanza awamu ya nne....so kuwepo kwa kanisa katk ya waislamu sio hoja ya msingi hapa! Kwan nn mnachoma makanisa? Pengine ukijib hilo itafaa sana
 
Back
Top Bottom