Ripoti nzuri kutoka TBC1

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
Wakiripoti mazishi ya kamanda Barlow wamesema kuwa alipigwa risasi na watu wasiofahamika (instead of majambazi kama polisi walivyotuambia mwanzo).
Nimependa utoaji habari wa aina hii, angalau ndivyo inavyotakiwa iwe.
VIA; Usiku wa Habari
 
hakuna jema TBC1 ishakufa kitambo mioyoni mwa wengi
imebaki kuwa tv ya propaganda za magamba
ni sawa na kutoa habari za mtu aliekufa zamani
TV ya Taifa ni ITV na star tv inafuatia.
 
Wamesoma JF, kwenye yale maswali ya wanajamvi lipo swali lilohoji kuwa wamejuaje kuwa aliuwawa na majambazi.
Sometime wanakuwaga na akili za induction.
 
Wakiripoti mazishi ya kamanda Barlow wamesema kuwa alipigwa risasi na watu wasiofahamika (instead of majambazi kama polisi walivyotuambia mwanzo).
Nimependa utoaji habari wa aina hii, angalau ndivyo inavyotakiwa iwe.
VIA; Usiku wa Habari

Yaani kwa taarifa ya habari moja tu unasema unaipongeza TBC1!!!! Pole.
 
Duh nimefungua fasta kweli nikajua nakuta kitu cha maana kumbe zero? Jiulize kwanini Kova, Meki Sadiki na yule Shehe kast week hawakwenda kutangazia TBC badala yake ITV?
 
hakuna jema TBC1 ishakufa kitambo mioyoni mwa wengi
imebaki kuwa tv ya propaganda za magamba
ni sawa na kutoa habari za mtu aliekufa zamani
TV ya Taifa ni ITV na star tv inafuatia.

Sijaclaim popote kuwa TBC ni kituo bora, nimesifia jinsi walivyoripoti in contrast na taarifa ya awali kutoka kwa jeshi la polisi.
Kuna tatizo hapo?
 
Yaani kwa taarifa ya habari moja tu unasema unaipongeza TBC1!!!! Pole.

Ahsante.
Sio mbaya ukanijuza ni matukio mangapi yanatosha kutengeneza package ili mtu apongezwe.
In fact TBC ni kituo ambacho kinaboronga mara nyingi, nikaona nimsifu 'sikriptiraita' wao kwa hili moja.
 
Duh nimefungua fasta kweli nikajua nakuta kitu cha maana kumbe zero? Jiulize kwanini Kova, Meki Sadiki na yule Shehe kast week hawakwenda kutangazia TBC badala yake ITV?

Mpwa mimi zero?
Tangu lini Kova na wenzake wamekuwa kipimo cha ubora, au kwa kuwa wamekwenda munapopataka nyie?
 
Hivi tbc1 bado ipo? Kuna watu wanaiangalia. Poleni sana sisi tulishaisahau ila wawe wanapita pita humu ni pazuri sana na hakika jf ni zaidi ya chombo chochote cha habari hapa east africa
 
Wakati wa Tido Mhando nilikuwa naangalia TBC 1 na hasa kile kipindi cha uchaguzi mkuu. Lakini tangu ametoka Tido Mhando TBC 1 imepwaya zaidi ya kupwaya yaani ni kama samaki iliyochina. Nimeacha siku nyingi kuiangalia haina tena mvuto wala ubunifu. Sipati tena taabu ifikapo saa 2 usiku kujua niangalie taarifa ya habari stesheni gani ya television.
 
Mimi nimefurahia TBC1 kwakutangaza - kuwa alipigwa risasi na watu wasiofahamika na sio alipipigwa na kitu chenye nncha kali!
 
TBC1 hivi bado kuna watu wanaiangalia? ninampango wa kuweka kipindi maalum pale nijisafishe!!!
 
Mpwa mimi zero?
Tangu lini Kova na wenzake wamekuwa kipimo cha ubora, au kwa kuwa wamekwenda munapopataka nyie?

Mpwa sorry naona umenielewa vibaya. Naomba radhi toka moyoni mwangu endapo nimekukwaza. Please samahani naomba tuendelee na mjadala. Asante Mpwa
 
Kuna watu wanafki sana humu JF, kila siku mnadai kuwa hamtazami TBC, na wakati mwingine mnadai kuwa hamskizi Clouds FM, lakini wakiboronga mnakuja kulalamika. I wonder huwa mnambiwa na nani kuwa TBC wameboronga...
 
Mpwa sorry naona umenielewa vibaya. Naomba radhi toka moyoni mwangu endapo nimekukwaza. Please samahani naomba tuendelee na mjadala. Asante Mpwa

Usijali mpwa, no hard feelings!
 
Back
Top Bottom