Vodacom acheni wizi, Masaa 24 yako wapi hapa?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vodacom acheni wizi, Masaa 24 yako wapi hapa??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shark, Oct 18, 2012.

 1. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 18,343
  Likes Received: 5,114
  Trophy Points: 280
  Vodacom wamekuja na ofa mpya ya Super Cheka Internet ambapo wanaitangaza kwamba ni masaa 24. Lakini cha ajabu ukijiunga muda wowote ule, mwisho wa ofa ni Saa sita usiku.

  Ina maana ukijiunga saa moja usiku utadumu kwenye ofa kwa masaa matano tu mpaka saa sita usiku, badala ya masaa 24.

  Nimejiunga na hii ofa dakika chache zilizopita na nikapata meseji hii hapa chini

  " Hongera!Umenunua dakika 30 kupiga Vodacom-Vodacom, SMS 100 kwenda mitandao yote na 50MB .Tumia kabla ya 5:59 usiku leo.Piga *149*01# ili kujua salio lako"
   
 2. Butho Mtenzi

  Butho Mtenzi JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 328
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hao nao ni wehu mie kila siku nanunua lkn hakuna masaa 24 wala nini ni wezi tu kama wezi wengne
   
 3. a

  asau Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usisahau na ile bonus ya Tshs 50 mimi inanichekesha sana
   
 4. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 18,343
  Likes Received: 5,114
  Trophy Points: 280
  Yaani kama nimejiunga saa moja kamili ya usiku huu, masaa 24 yalitakiwa kuishia dakika moja kabla ya saa moja kamili usiku wa kesho, sio leo saa sita usiku.

  Otherwise wasingesema ni masaa 24, bali wangesema tu tumia kabla siku ya leo haijaisha, wangeeleweka!!
   
 5. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,183
  Likes Received: 2,816
  Trophy Points: 280
  Cheka inaanza saa 6 usiku mpka saa 5 dk 59.. Sijui haya ni masaa 18!!!??
   
 6. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,428
  Likes Received: 486
  Trophy Points: 180
  Mtandao umechoka mbaya. Leo mawasilano yalikuwa sifuri kabisa achilia mbali wizi.Msisahau mafisadi papa ndio wenye hisa.
   
 7. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Yaani we acha tu,hako ka sh.50 hamsini kananiudhi kweli.
   
 8. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Jana roho iliniuma kweli,nilinunua 50 minutes za voda kwa buku,hapo hapo mtandao ukazingua nikashindwa kuzitumia hata sekunde moja.
   
Loading...