Chakula cha GM chathibitika kuleta kansa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chakula cha GM chathibitika kuleta kansa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Synthesizer, Oct 18, 2012.

 1. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,323
  Likes Received: 3,119
  Trophy Points: 280
  Utafiti umefanywa na kudhihirisha kwamba chakula cha GM (Genetically Modified) vina madhara makubwa kwa wanadamu. Ikumbukwe kwamba hapa Tanzania viongozi wamekuwa wakitetea GM foods ili kuongeza uzalishaji, na hata hiki chakula kukubalika kuingizwa nchini!

  [​IMG]
  Angalia picha ya panya waliolishwa GM food
  Source: http://www.naturalnews.com/037249_GMO_study_cancer_tumors_organ_damage.html

   
 2. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Agrisol waliopewa ardhi ya kulima mazao ya GM kule Katavi na lugufu(Kigoma) ndiyo watatumaliza kabisa!
   
 3. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,098
  Likes Received: 1,484
  Trophy Points: 280
  hawa viongozi wetu tamaa zao zitatuua wananchi inabidi tuwe macho nashangaa kuona baadhi ya mawaziri bila aibu wanasema kilimo cha GMO ndicho kitatukomboa kutokana na mabadiliko ya tabia nchi lakini sasa hivi ukienda Ocean Road hospital unakuta watoto wadogo wana kansa wakati zamani huu ugonjwa ulikuwa unashambulia zaidi watu wazima.
  Na madhara ya hivi vyakula hayakugunduliwa leo kama mnakumbuka kuna kipindi Zimbabwe ilikabiliwa na balaa la njaa na jumhiya ya ulaya ilimpa msaada wa chakula cha GMO lakini alikikataa kwa sababu waliompa hata wao walikuwa hawakitumii.
   
 4. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,569
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ee Mungu tuhurumie watanzania tutakimbilia wapi kila mahali ni tatizo,viongozi wetu wenyewe wanaangalia
  maslahi yao na familia zao tu.
   
 5. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Kweli rushwa ni mbaya Hawa viongozi wetu wakishapewa chao hawakumbiki kuna madhara walivyokuwa wanatete a Gmo utafikiri wao ni wakemia .
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  GM Foods ni kama zipi ambazo zipo ktk soko la tanzania
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  ndio tujue mapema.....wengine ndio tunasikia habari kama hii hapa......
   
 8. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,323
  Likes Received: 3,119
  Trophy Points: 280

  Swali zuri sana King Kong. GM food zinatokana na mbegu ambazo zinafanyiwa ukarabati ili ziweze aidha kukabiliana na hali fulani za mazingira au kuzaa kwa wingi, au hata kutoa matunda makubwa sana. Unaweza ukakuta kiazi mviringo ambacho size yake ni sawa na boga, au ikawa ni mahindi tu unayoyaona kuwa ni ya kawaida kumbe yalifanyiwa ukarabati labda yakomae baada ya mwezi mmoja badala ya miezi miine. Kwa ujumla, kama sio ubadilikaji mkubwa wa saizi mara nyingi huwa huwezi kujua kama chakula kimefanyiwa ukarabati (genetically modified). Ila sheria zinataka mambo yawekwe wazi kama chanzo cha chakula au mbegu fulani ni "genetic modification".

  Hivyo serikali utakuta magunia ya mahindi au paket za chakula kuna lebo "GMO" au "Genetically Modified". Ndio maaana Zimbabwe waliweza kukataa msaada wa chaqkula hicho. Hapa kwetu TZ viongozi waliamua bora liende, hivyo hawazuiii kwa nguvu hizi GM foods hata wanaruhusu mbegu zake ziingzwe nchini.

  Kwa hiyo inawezekana kabisa kwamba maduka yetu yamejaa GM foods kwa kuwa serikali inaziruhusu. Unaponunua vyakula vya nje jaribu kuangalia lebo, na epuka kula vitu ambavyo size yake ni kubwa kuliko kawaida!
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Nadhani unazungumzia vile vyakula vilivyokuwa Pimped kama hivi(Orange Aple)
  [​IMG]
   
 10. BUBE

  BUBE JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Zinaweza kuwa kuku (toka nje), nyama, jamii ya kunde na nafaka! Kwa bahati mbaya vyakula vyenye viini tete kwa Tanzania vinaweza kuingizwa kama finished products wala sio mali ghafi (raw au semi-processed).
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Lemon Nyanya
  [​IMG]
   
 12. F

  FJM JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ule mradi wa Agraisal huko Kusini ambao Pinda ameapa kuutetea ni GM! Wazungu wanapata tabu kulima huko kwao maana kelele za watu ni nyingi kwa hiyo wanatafuta mashamba ya bibi kama Tanzania. Udongo unachakaa kwa haraka lakini kubwa products zake ndio hivyo tena kwa afya ya mlaji!
   
 13. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,323
  Likes Received: 3,119
  Trophy Points: 280
  Mkuu King Kong, hii nadhani ni digital modification na sio genetic modification!
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Tushakwishaaaaa!!
   
 15. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,323
  Likes Received: 3,119
  Trophy Points: 280
  GM food – safe enough for Africans, but not for us « by Jeremy Williams

  [​IMG]
  Is that the subtext of news today that the UK is quietly investing £100 million into GM research for Africa? It certainly sounds like it – genetically modified crops still can't be grown in the EU, but are being aggressively promoted in Asia and Africa. As the government has admitted, if it can get them accepted in the developing world, people may come to accept them here as well. No doubt it's a political matter, but the double standard is striking. If something isn't considered safe for human consumption in Europe, why on earth would we suggest it's safe for Africans?

  http://www.myspace.com/treenex/blog/502859044
   
Loading...