Tigo ni wezi; huduma ya extreme package ni usanii... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tigo ni wezi; huduma ya extreme package ni usanii...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tuko, Oct 17, 2012.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  I seriously get bored na hawa watu. Ukiwa unatuma msg bila kujiunga extreme, zinakwenda sawa. Soon ukishajiunga, msg zinaanza kugoma na kusumbua. Unaweza mtumia mtu msg leo, ikamfikia kesho yake. Pia internet huwa slow sana ukishajiunga na extreme package. Waache wizi...
   
 2. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,864
  Likes Received: 1,147
  Trophy Points: 280
  Hiyo extreme Package usiweke ukiwa na Balance.
   
Loading...