Mlevi aleta Kizaazaa nmb arusha baada yakutaka kumnyanga asikari bunduki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mlevi aleta Kizaazaa nmb arusha baada yakutaka kumnyanga asikari bunduki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mnyinda, Oct 18, 2012.

 1. m

  mnyinda JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Risasi simerindima nmb tawi la sokoni baada ya mtu anadhaniwa kalewa kuleta furugu ndani ya benk ya nmb ndipo masikari wanalinda benk hiyo walipo mkamata baada yakukamatwa alianza kungangana nao kutaka kuwanynganya bunduki nawatu kuanza kusogelea ndipo masikari hao walipohamua kupiga risasi juu ilikutawanya raia hadi ffu wanaingia taruki bado ilikuwa ikiendelea huku baadhi ya watu wakihizi niwezi wmejidai kuwa wamelewa
   
 2. A

  Arusha Leo Senior Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hUYO ni mlevi kweli ama kichaa maana nimemwona anangeu huku akibubujikwa na damu kichwani vipi hakupora na sasa yupo wapi tufahamishe
   
 3. m

  mnyinda JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  siyo kichaa
  bali damu ulizoziona nikichapo alipwa kichapo mpaka raia wakaingilia kati nakuanza kurusha mawe ndani ya benk ilikumwokoa siunajua hapa nisokoni na wamama wana uruma sana ilikuwa patashika ya ainayake mpaka ffu walipoingia nakutawanya nakondoka naye
   
 4. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  huenda alikuwa ni mwizi akaishiwa janja akajifanya mlezi. angefanikiwa kunyanganya askari silaha tungekuwa tunaongea mengine kwa sasa.
   
 5. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Angejifanya mfuasi wa shekh ponda wasingempiga.
   
 6. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  viroja haviishi hapa
   
Loading...