Nyuki! Nyuki nyuki! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyuki! Nyuki nyuki!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kivyako, Oct 18, 2012.

 1. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,805
  Likes Received: 4,167
  Trophy Points: 280
  Imekuwa patashika mida hii mitaa ya tabata reli mpaka aroma hapa dar watu wanakimbizwa na kuumwa na nyuki, wanaingia mpaka kwny magari, jamani tanzania hii, kila kona rabsha.
   
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,087
  Likes Received: 10,443
  Trophy Points: 280
  Hakuna nyigu karibu hapo..kama watu wameng'atwa na nyuki basi nyigu ndo dawa..maana nyuki anatoa acid na nyigu anatoa alkaline so kitu kinakuwa Neutralization rxn....
   
 3. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,805
  Likes Received: 4,167
  Trophy Points: 280
  Dah! Patamu hapo!
   
 4. awp

  awp JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  nimecheka japo havifurahishi
   
 5. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nitapitaje mie, sikuwa na mpango wa kurudi nyumbani mapema bila kwenda Tabata kupata burudiko la bi. mdogo.
   
 6. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Kweli haya ni majambos!
   
 7. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Nawaakikishia hiyo ni kiashiria kuwa shetani ibilisi yupo kazini.kumbe ndio maana kuna rapsha nchini.hayo ni mapepo yanasafisha njia kwa ajili ya kesho segerea ila wameshindwa kwa jina la yesu.naenda kuvunja nguvu za giza eneo hilo sasa hivi apiti pepo leo au kesho
   
 8. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,351
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Wanakosea njia, mimi niliwatuma hao nyuki waende kule magogoni kwa kiguu na njia wakamshughulikie wao wanaenda uelekeo mwingine. Khaa! Ngoja ni-deploy wengine. Tegeni masikio......
   
 9. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Security perimeter ya malkia wa nyuki ni mita kadhaa, na huwa hawana mzaha katika kuilinda hiyo perimeter in move. Huo ni msafara wa kawaida wa malkia wa nyuki wanapohama kutoka sehemu moja kwenda nyingine
   
 10. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  dah! poleni sana wakaz wa Tabata kwa kwenda kwenu huku mnapata mihuli ya maumivu
   
 11. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280

  Aah wapi!
  Masikini huwa wanalogana wenyewe kwa wenyewe.
  Hiyo ni principle.
   
 12. Mipangomingi

  Mipangomingi JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,719
  Likes Received: 980
  Trophy Points: 280
  Jamani mbavu zangu ooh!
   
Loading...