Mwisho tutaanza kuogopa wenyewe kwa wenyewe! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwisho tutaanza kuogopa wenyewe kwa wenyewe!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by 2mbaku, Oct 18, 2012.

 1. 2mbaku

  2mbaku JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 317
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Leo nilikua nasubiria daladala ya kunipeleka mahali fulani. Ghafla wakatokea waislamu kama sita ivi wote wamevaa kanzu.Nao walikua wanasubiria usafiri. Nilitaka niahirishe safari. Nilijipa matumaini labda wengine ni wasindikizaji tu.Ikaja daladala ya watu 8,i mean kipanya.Nikaona wote wanaingia,halafu dereva nae muislamu.Niliishiwa nguvu, nikapanda kiunyonge ivi ivo.Gari zima lilijaa waislamu saba wakristo tulikua wawili.
  Hofu yangu kubwa ilikua ivi nikikosea hata matamshi au matendo kama kugusa kanzu itakuaje.Safari ikaanza,njiani, kuna mtu alitega alarm ikawa inalia kama bomu linataka kulipuka, nilitaka kutokea dirishani.
  Safari ilipoendelea simu ya dereva ikaita, nikasikia mlio wa imeandikwa waheshimu wazazi wako.Loh furaha iliyoje kwangu, nikapumua kwa njia zote. Nikasema angalau kumbe si waislamu wote wana chuki na wakristo, nikaanza na kuongea nao.

  Hapo ndipo tulipofikia katika hii nchi ya JK. Tafadhali ndugu zangu tuwe na moyo wa kuvumiliana kunapotokea tofauti fulani.Sisi sote ni ndugu, tusigeuze nchi yetu Iraq au Afghanstan.
   
 2. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,717
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Pole 2mbaku, ulikata kujianye!!!
   
 3. Z

  Zimamoto JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 464
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Hadithi zingine, sioni tone la kisiasa ndani yake.
   
 4. 2mbaku

  2mbaku JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 317
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Umezima moto! Kumbuka nani walitufikisha hapo kama sio wanasiasa
   
 5. T

  Tewe JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 718
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Bushi alisema "islamic is an axis of ------" hakueleweka kabisa
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,534
  Likes Received: 21,015
  Trophy Points: 280
  pole saana kwa kweli...
   
Loading...