Walinzi wa kanisa Faraja Gosper church la Yombo Kiwalani wanusulika kuuwawa usiku wa kuamkia leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walinzi wa kanisa Faraja Gosper church la Yombo Kiwalani wanusulika kuuwawa usiku wa kuamkia leo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by C Programming, Oct 18, 2012.

 1. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 1,749
  Trophy Points: 280
  Watu wasiofahamika walivamia kanisa la Faraja Gosper Church lililoko maeneo ya Kiwalani, walivamia kanisa hilo
  ila kwa bahati nzuri walipambana na walinzi wa kanisa hilo lakini katika mapambano hayo walinzi walivyoona wamezidiwa mmoja wao alikimbilia madhabauni na kuanza kupiga kengele.Baada ya kelele watu hao kuona hivyo waliamua kukimbia ila moja kati ya madhara yaliyotokea ni baadhi ya vitu kuhalibika na walinzi wawili waliumizwa vibaya kwani walipigwa na mapanga na marungu na wamelazwa hoi hospitali ya Temeke kwa kupata maumivu makali.


  source of this news:wapo radio na itv taarifa ya habali
   
Loading...