Wakristo mtachomewa makanisa hadi lini jamani ifike tuseme no imetosha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakristo mtachomewa makanisa hadi lini jamani ifike tuseme no imetosha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Oct 17, 2012.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,095
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Sipendi kuita mabwege ila napenda kusema hili swala la udini lnapoelekea ni pabaya
  napenda kusema hili ndugu zangu watanzania namaanisha wakristo na waislamu
  akuna dhambi kama kubaguana kidini

  naamini uu muendelezo unaoendelea kuchoma magazeti athari yake ni kubwa kuliko
  serikali inapokaa kimya..lazima wajue si kwamba wakristo wajinga ila ufahamu
  utakaporudi nahisi amani itakuwa kubwa zaidi

  nimeumia leo kusikia kanisa limechomwa nikajua malawi ama zambi kumbe kigoma ndan ya tanzania
  mmehcoma mbagala,,zanzibar kigoma mwisho mtatuchoma sisi ...iifike wakati mseme basssssssssiiiiiiiiiiiiiii.....mskubali kuundiwa tume kama watoto kila siku ya zanzinar iko wapi...
   
 2. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,636
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Nimecheka sana hapo ulipoandika siku wakristo ufahamu utakaporudi!, kumbe wakristo hawana ufahamu??? tehe tehe
   
 3. MTU POLI

  MTU POLI Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmm! mi simo
   
 4. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,925
  Likes Received: 1,853
  Trophy Points: 280
  Hivi hayo makanisa yameanza kuchomwa lini,na kuanzia miaka gan na kwa sababu gan??
  Unapomwagia moto petroli then ukalipuka lawama hiyo unampa nan??lawama unaipa moto au wewe ulieimwaga ile petroli??
  Mbona hulalamiki kuhusu hao waanzilishi wa hizo choko choko??
  Lipiza kisasi basi,kwan nani kakushika mkono au kakuzuia??misikiti si unaiona??
  Kailipue,,
  stayn today complaining bout yesterday wont make ur tommorrow any better...!!!
  Take actions now if u thik u r such smart...
   
 5. Kilimo

  Kilimo JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  mpaka watakapoacha ile samehe 7x70
   
 6. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Imetosha,, tumeanza na sheikh ponda hapa dar kamata weka ndani na kule ZNZ sheikh Farid kamata weka ndani.
   
 7. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,095
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  mkuu sim
  ogopa mtu anaeamini majini na mapepo anaweza kukumaliza dk 1 ati.s.asa naona wakristo wenzangu wengi tumefungwa na mapepo ya uvumilivu sasa kila tunachofanyiwa tunajipa moyo mungu atawalipiza atawalipiza wapi ushaona mapepo yanalipizwa mwisho yanakumaliza ati watanzania amkeni jamani sisemi wote ila naaaminiw apo waislamu wanaolaani hii hali na wengine wakichekelea kama mh wetu mis narudia tena tusali tufunge tufunguliwe ufahamu tuliofungwa na mapepo tujue wapi tulipo na nini cha kufanya

  unajua hata kwenye baibo wanasema adui yako na afe sasa tunajifanya kuwaombea hawa huku wanaturushia maruhani na kuchoma moto makanisa na mwisho wanatuchoma moto wallahi nawaambia oooh shauri zenu
   
 8. S

  SWEET HUSBAND Member

  #8
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  vita vyetu si vya kimwili bali ni vya kiroho,mungu wetu via roho mtakatifu ndio atakaetupigania!!!tunazidi kipiga magodi na kumlilia mungu alie hai nae atajibu sooon!!
   
 9. m

  mankwaito Member

  #9
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 17, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii sio mada ya wakristo kwan wao hawajafanya vurugu yoyote.solution ni waislam kukaa na kujua tatizo lipo wapi na kukemea tatizo hilo.
   
 10. B

  Buluki Member

  #10
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani mmeshikwa mikono!? anzisheni sasa...
   
 11. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,095
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  mkuu nkadabwi
  unajua sio kila mgonjw wa kuombewa kuna majini mengine yamejipanga ukiingia na sala zako ovyo unakwenda ..nini namaanisha swala la kisasi mwongozo wetu unasema kisasi ni cha bwana yaani baibo ..ila kwenye adui inasema adui na afe na hili natangaza fwatah kwa ajili ya wote walioanzisha uchafu huu wa kuchoma makanisa ama wafe ......ama wateketeee popote tusiwaone tenaa ...huu ni ujinga embu umejiuliza wanachoma moto kanisa alina mtu wanachoma ili nini

  ndio maana narudia tena bora unyiwmwe utajiri kuliko kwenda shule jamani hili nasema na vizazi vyangu vyote vitalijua na hata majini na mapepo nimetangaia hili na wanajua hili......kinachoonekana mkuu sio kwamba waislam wakaorofi na wamemmis kitu fulani kichwani wakiamini kupitia kuchoma makanisa na mengineyo kutawapa nafasi za ajira
   
 12. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #12
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,095
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  mkuu tatizo linajulikana
  shuleeeeeeeeeeeeee shuleeeeeeeeeeeeeeee shuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ukinyimwa hili na mzazi wako kam a ana uwezoooooooo ibaaaaa ummalize na yeye ajue umuhimu wa wewe kwenda shulee basiiiiiiiiiiiiiiiii....wewe anakufa mtu mnaenda kukamata mwanamke unakamata boyfriend wake alafu unapeleka vigogo mwanza kuchunguza unachunguza nini tena wakati unajua kosa la marehemu akili tu@@@
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  Samehe 7 mara 70 waacheni hao stress zinawasumbua
   
 14. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,095
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Ni wakati wa mungu kuwainua sheikha ponda wa kikristo wakitumika kama daudi kumuangamiza goliath imetosha kabisa
   
 15. SASATELE

  SASATELE Senior Member

  #15
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sio waislam wote wanaounga mkono uchochezi wa Ponda na redio iman!! Tatizo ni kwamba samaki mmoja akioza wote wameoza!! Wakristo muwe na subra, Mjibu mpumbavu kwa hekima usije ukafanana nae!! Kwa ujumla ninasikitishwa sana na hali ya mambo ilivyo hapa Tz na kule Znz!! Its a shame kwa nchi maskini kunuka kupoteza hata ile tunu ya amani iliokuwa inajivunia. Tutabaki na nini sasa nchi hii?
   
 16. C

  Cha-phile Member

  #16
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni tatzo la serikal yetu ya kupendeleana na kushndwa kutoa maamuz magumu
   
 17. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #17
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Acheni uchochezi nyie, tambueni kuwa kalamu zenu pia midomo yenu inafanya uchochezi, hawa wanaofanya huu naouita uhuni wa kuvamia makanisa hawana support yoyote ya waislamu, hawa ni wahuni tu, umeona wameiba ata komputer kanisani wala msiumize vichwa hawa ni vibaka tu wa uko mbagala.
  Angalizo kwa nyie wachochezi kwanza vita ya kidini ni kuipelekea nchi hii iingie katika umwagaji wa kutisha wa damu, anayehisi kubaguliwa ye ndo mbaguzi mkubwa na yatakushindeni, lakini kama mnayataka haitakuwa ajabu ntakapoona na wakristu wakijifunza kuvaa mabomu ili kujilipua
   
 18. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #18
  Oct 17, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ukishindana na mjinga nawe unakuwa mjinga ndugu yangu...............sisi tunafunga na kuomba.............dini yetu haiagizi kufanya vurugu.............umesahau samehe 7 mara 70???.................hao ni wa kuwasamehe manake hawajui walitendalo............hali ngumu ya maisha waliyo nayo ndio tatizo kubwa!
   
 19. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #19
  Oct 17, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,925
  Likes Received: 1,853
  Trophy Points: 280
  Khaa...!!ajira??thats soo nonsense,,popcopy,,
  nan kakuambia waislam wanachoma makanisa coz ya chuki zao za kukosa ajira?
  Hivi ni nan kawaaminisha kua uislam unapromote ujinga au unawafundisha waumin wake wasisome na kutafuta maarifa??well,let me tell u somthin,miongoni mwa verse za mwanzo mkushuka kwa muslims ambozo mungu alimshushia prophet muhhammad peace be upon him ni "iqra bismirabika laadhi khalaq",khalakal inhsan bil khalaq",iqra a"warabukal akram,gh"alamal insan bil kalam""
  means>>soma,soma kwa jina la mola wako aliekuumba,aliemuumba bin adam kwa tone la sperm,soma hakika mungu wako ni mkarim,aliemuelimisha binadam kwa kalam na kumjuza mambo ambayo yeye binadam alikua hayafaham,,
  na zipo verse nyingi zinazoelezea na kusisitiza umuhimu wa elimu na ulazima wa binadam kuitafuta elimu hiyo,inchi kama mfano wa iran leo wanazungumzia kuhus teknolojia ya nyuklia na ile ni jamhuri ya kiislam una amin kua wale wamesoma madrasa tuh??propaganda kama hizo hazina mashiko na wenye kua na uelewa na exposure tunakudharau,,ni umaskin uliorithi kwa ancestors wako ndio umekupelekeeni kuamin kua yupo aliekufa kwa ajili ya shida zenu,,ulaya na sehemu zingne wakatambua uhalisia wa mambo huwez kukaa na kuongea pumba kama hizo
  na usitegemee hatab siku moja eti uwadharau waislam na kuwakashifu kisha wao wasichukue action ya kupinga dhulma kama hzo
  ilo sahauu...
   
 20. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #20
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Unachosema kina ukweli hawa watu tukisema tuendelee kuwachekea tutavuna mabua, niwajuavyo mimi sehemu kubwa ni watu walio feli katika kila aspect hivyo wanatafuta pa kutokea, kwa mfano wengi wao maisha yamewashinda, wameshindwa kujenga nyumba za ibada za maana, wameshindwa kujenga shule na vyuo vya maana, wameshindwa kukataa kutumiwa na watu wanaowatumia ili kuvunja amani ya nchi kama wenzao wakristo hata wakasirishwe kwa kiwango gani hawawezi kuchoma nymba wala kwenda kuiba mali ya msikiti japo ni rahisi tu, sasa the way forward inabidi serikali iwaangalie sana maana wataendelea na hivi vitabia vyao kujifanya wanapinga jambo fulani kumbe nia yao kubwa ni kuvunja kanisa ili waibe vyombo vya mziki na sadaka kama zimesahaulika wauze wapate mlo wa siku.
   
Loading...