Tahadhari: ijumaa kesho si ajabu ikawa na vurugu kubwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tahadhari: ijumaa kesho si ajabu ikawa na vurugu kubwa.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Salary Slip, Oct 18, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,982
  Likes Received: 37,624
  Trophy Points: 280
  Kwa mtazamo wangu, kufuatia kukamatwa na kufikishwa mahakama leo kwa Ponda na wenzake na kukosa dhamana, si ajabu, kesho baada ya swala ya Ijumaa, yakazuka maandamano makubwa kushinikiza Ponda na wenzake waaachiwe huru.

  Mtazamo huu, unaenda sambamba na kauli ya kamanda Kova, kuwa hawataruhusu watu kuvunja sheria za nchi.Kitakachotokea bila shaka ni mvutano kati ya waislamu na jeshi la polisi na hatima yake kila mtu anaijua kwani tumeshashuhudia ktk majukwaa ya kisiasa matokeo ya kupimana ubavu kati ya polisi na raia.

  Kwa hali ilivyo hivi sasa, ni vigumu kuamini kama waislamu wataridhika Ponda na wenzake kunyimwa dhamana.Haya ni matokeo ya kulea uovu kwa muda mrefu kwani hatua zilipaswa kuchukuliwa mapema kabla hali haijawa kama ilivyo sasa.
   
 2. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,982
  Likes Received: 37,624
  Trophy Points: 280
  Lets wait and see what will happen.
   
 3. Mwitongo

  Mwitongo JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 30, 2009
  Messages: 311
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Thubutu!!! hatari itoke wapi ilhali nchi imeshakabidhiwa kwa Malaika Walinzi, kwa usimamizi wa Bikira Maria, Mama wa Huruma!
   
 4. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  tuiombee nchi yetu. tunakoelekea siko!
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,323
  Likes Received: 1,788
  Trophy Points: 280
  Wengine tuntaka amani bwana. Weekend yote tuanze kupigana bila sababu tumekosa nini?
   
 6. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kwakweli TZ tumekosa mambo muhimu ya kufanya. Huu naamini ndo mwezi ya HIJA...sasa inakuwaje?
   
 7. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  ni MALKIA WA AMANI! atatupigania mpaka mwisho! HATAKUBALI KUONA NCHI INAINGIA VITANI, kwa wakatoliki, tusali rosary yake, ni mwezi wa rosary huu!
   
 8. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  aaagh! hakuna siasa kweli humo! chadema hawatashiriki
   
 9. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,982
  Likes Received: 37,624
  Trophy Points: 280
  Sema tu kama wewe ni mwanaccm.

  Usituzuge.
   
 10. K

  Ka2 Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaa hvyhvy na ujinga wako mpaka yakukute...!
   
 11. ASIKARI

  ASIKARI Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Naungana na wewe katika hili...hali haitakuwa shwari.
  Tusubiri tuone:a s 465:
   
 12. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  kuna taarifa nimezipata kuwa kesho baada ya sala ya Ijumaa kutakuwa na maandamano ya siku 7 mfululizo hadi ponda na wenzake waachiwe huru
   
 13. Ng'wale

  Ng'wale JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,757
  Likes Received: 594
  Trophy Points: 280
  Hakika umenena!!!
   
 14. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,982
  Likes Received: 37,624
  Trophy Points: 280
  Tunasubiri intelijensia ya polisi ifanye kazi.
   
 15. K

  Ka2 Member

  #15
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hv ww unaweza kwenda harusini na mkeo then jamaa wakamchukua mkeo utanyamaza kwa kusema ni siku ya harusi?
   
 16. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Amiri jeshi mkuu aka presdaa yuko wp?
   
 17. muhogomtamu

  muhogomtamu JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 412
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hapa naanza kumkumbuka mzee BMW
   
 18. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  naona vijana wa kova wanapiga jaramba!!!!!, wanaandaa flying objects, na vitu vizito vyenye ncha kali,

  tuone nani kidume hiyo kesho atakae vuka utepe mwekundu.
   
 19. Andrew Kellei

  Andrew Kellei JF Gold Member

  #19
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Ni kweli mkuu,kesho njini kunaweza kusiwe salama sana.Shule za mjini kama St.Joseph wamefunga shule kwa siku ya kesho.Tahadhari ni bora kuliko kusubiri litokee baya.Hawa watu walipoandamana kushinikiza waliokataa kuhesabiwa waachiwe na wakaachiwa ndipo jeshi la polisi lilipokosea,sasa wanajua kuwa wanaogopwa so wakiandama tu wanaweza kutoa shinikizo.Ila kwa mkwara wa Kova aliotoa jana,nina wasiwasi kesho PATACHIMBIKA so stay mbali na city centre.
   
 20. Huntsman

  Huntsman JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 11, 2012
  Messages: 628
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 60
  hizi taarifa hata mimi nimezipata mkuu.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...