Jamani naomba msaada kwa yeyote anayefahamu kuhusu, kwamba PSPF wamejenga nyumba za kukopesha zilizoko eneo la Buyuni, DSM. Je, nyumba zina ukubwa gani, bei zake kiasi gani na unalipa kwa muda gani?
Wanajamvi
Mheshimiwa Edward Lowassa; Amekiri alipoanzisha mjadala wa tatizo la ajira kwa vijana ni bomu linalosubiri kulipuka HAKUELEWEKA.
Ni kweli serikali kwa kumtumia Mhe mama Kabaka walijibu...
Taarifa toka kwenye vyanzo vyetu vya habari zinasema kuwa ule mfupa uliomshinda Fisi waonyesha dalili za kupata mlaji.
Taarifa hizo zinasema kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Uchumi na...
Naomba nilete kwenu taarifa ambaye ilitolewa na baadhi ya magazeti ya leo kuhusu ajali waliyo pata wanajeshi wetu katika mazoezi yao jana. Nikweli kabisa kuwa kuna mmoja alifariki lakini yule...
Chama kikuu cha ushirika mkoani Kilimanjaro KNCU sasa kimekuwa katika hali mbaya ya kiuchumi hali kadhalika na kiutendaji hali inayokipelekea chama hicho kikongwe shimoni.
Hali hiyo inatokana...
Nimeangalia ITV nimejisikia vibaya sana Yule mwanadada ameongea kwa Uchungu sana nanukuu"
Mtu anayefanya kazi ngumu hata maamuzi yake ni magumu
Mwisho wa kunukuu
Hapa JF kuna mahodali wa kupost...
Kwa heshima na taadhima nakuomba Mh Magufuli uiangalie kwa makini,mana imeanza kuchimbika na kukwanguka lami
hata kabla ya yakukamilika ujenzi.
Barabara hii inajengwa kwa ufadhiri wa MCC,waliopewa...
Tatizo la mpaka kati ya tanzania na malawi linaumiza vichwa sana viongozi wetu hv sasa.
ninachoshangaa nimetembelea google map nikatazama mipaka waliyoweka inaonesha ziwa nyasa lote lipo upande wa...
Extremists in Tunduru District in south-western Tanzania burned the homes and livestock of several Christians on 17 September. One home was burned to the ground, but bystanders managed to save...
Askafu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT), Dk. Alex Malasusa, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu kutoa tamko la maaskofu kutokana na...
ni muda mrefu tangu mbunge wa jimbo la gairo alipolikwapua jimbo hilo likiwa na hali mbaya sanaa. asipewe sifa kwa nini? tunasema apewe sifa kwanza amelitoa jimbo sehemu mbaya na amejaribu sana...
Tukikumbuka mauaji ya Raisi wa Rwanda,ilisemekana aliuliwa na watusi, ila ukweli ni kwamba wahutu ndiyo walimuu Raisi kwa kutungua ndege na huyo Raisi alikuwa Muhutu.
Wahutu walifanya makusudi...
kwa matukio yaliyotokea kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa umoja wa wanawake(UWT) nimebadilisha mtazamo wangu kuhusu wanawake kushika uongozi wa nchi hii, nchi yetu haiwezi kuongozwa kwa vijembe na...
Haiji akilini karne hii ya sasa nchi ikosee mafuta kweli na kufanya shughuli kusimama..mfano jana nimepita wilaya ya kilwa hakuna mafuta kabisa hata tone ...magari mengi watu wamepaki binafsi na...
Nimekuwa nasikiliza matangazo ya GEPF kwamba unapomaliza tu mkataba wako unapewa kitita chako. Pia, wanauwezo wa kukukopesha asilimia 40 za pesa yako pindi unafanya kazi na kuendelea na Mkataba...
siku za karibuni network zenu zimekuwa zikikata mara kwa mara na matokeo yake ni usumbufu mkubwa sana kwa wateja. mkirudisha net ndo matatizo yanazid sometimes kwan mnakuwa mmekata masalio yetu...
Naomba kuwa uliza wachambuzi wa mambo ya intelligence...Tanzania inakitengo cha kudili na Magaidi.
Kama hamna ni wakati mzuri wa kuwa nacho..ili kwenda sawa na hali ya Usalama wa Taifa letu.
Habari nilizozipokea majira ya jioni nikuwa kundi la sungusungu wapatao70 wameivamia shule ya sekondari ya Ukenyenge iliyopo wilayani Kishapu Shinyanga na kuzua tafrani na hofu kubwa kwa...