kwanini mitandao ya simu inatupa shida kias hiki??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwanini mitandao ya simu inatupa shida kias hiki???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MZAWATA, Oct 24, 2012.

 1. M

  MZAWATA JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  siku za karibuni network zenu zimekuwa zikikata mara kwa mara na matokeo yake ni usumbufu mkubwa sana kwa wateja. mkirudisha net ndo matatizo yanazid sometimes kwan mnakuwa mmekata masalio yetu. TIGO na VODA mna tatizo gani????????????
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mkuu quality network ni airtel wengine wanajikongoja
   
 3. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ni kweli ni usumbufu hadi inakera,tigo ndo kimeo kabisa nimeacha kuitumia mwezi wa 6 sasa,voda wanatia moyo,airtel wako vizur ingawa nao hupotea bt net haichelew kurudi.
   
 4. Michael Mtitu

  Michael Mtitu Verified User

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Hamia airtel wewe, ndugu, jamaa na marafiki.
   
 5. StayReal

  StayReal JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 519
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Most of those companies QoS(Quality of service) yao iko chini sana its a shame
   
 6. ndinga

  ndinga Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Voda ndo kimeo no 1 hamia airtel
   
 7. I

  ICU New Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 14, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nikuwahama uone kama hawajirekebishi....!
   
 8. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Matokeo ya Kuleta Mitumba ya Mitambo iliyokwisha tumika Kwingine. Ma Ofa Kibao lakini Circuit zile zile unategemea nini? Ni kama Kila siku Tunavyoingiza Maelfu ya magari Bandarini lakini Barabara ni zile zile toka Uhuru, Unategemea nini?? Foleni kwa Kwenda Mbele...!!
   
 9. Micha

  Micha JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kuna hawa wanaojiita TCRA sijui hata regulate kitu gani! Mitandao ya simu wametuwekea miundombinu mibovu ndiyo maana network zinakata kila wakati, TCRA haijawahi hata kutoa tamko wamekalia tu kujaza matumbo yao kwa kulipana mishahara mikubwa na maposho utadadhani nchi ni ya kwao peke yao. Nachukia sana unampigia mtu simu badala ya simu kuiita au kukupa msg kama haipatikani, wanakuwekea tangazo lao kwanza kwa dakika nzima ndiyo baadaye unajibiwa simu unayopiga haipatikani, pia kutuma ujumbe wa tangazo kwenye simu ya mtu bila ridhaa yake ni dharau kubwa sana ambapo TRCA walitakiwa wayaone haya na mengine mengi tuu na wachukue hatua. Nchi imegeuzwa shamba la bibi, hakuna kiongozi anayetimiza wajibu sasa kuanzia mkuu wa kaya mpaka mwenyekiti wa mtaa.
  Mungu tusaidie 2015 tuikomboe nchi yetu kwenye mikono ya wanyang'au.
   
Loading...