Tanzania kukosa mafuta hii ni hujuma ya wazi

KIBE

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
943
184
Haiji akilini karne hii ya sasa nchi ikosee mafuta kweli na kufanya shughuli kusimama..mfano jana nimepita wilaya ya kilwa hakuna mafuta kabisa hata tone ...magari mengi watu wamepaki binafsi na serikali....
Waliosababisha hili vyema wakawajibishwa .... Mafuta yanapakuliwa hapa kwetu sisi hatuna mafuta lakini nchi za jirani zinamafuta hii ni hatari sana.
 
Hata binadamu kuna kipindi hupungukiwa na damu kama kukiwa na shida. Bila ya shaka serikali yetu inaumwa ndiyo maana mafuta yameadimika, siku ikipona mafuta yatapatikana bila shida.
 
Back
Top Bottom