serikali ituambie GOOGLE MAP wamepata wapi mpaka kati ya TANZANIA NA MALAWI. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

serikali ituambie GOOGLE MAP wamepata wapi mpaka kati ya TANZANIA NA MALAWI.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by genius crazy, Oct 24, 2012.

 1. g

  genius crazy Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo la mpaka kati ya tanzania na malawi linaumiza vichwa sana viongozi wetu hv sasa.
  ninachoshangaa nimetembelea google map nikatazama mipaka waliyoweka inaonesha ziwa nyasa lote lipo upande wa malawi tofauti na viongozi wetu wanavyo eleza.binafsi nahitaji serikali ilitolee ufafanuzi au mtu yeyote mwenye ufaham wa hili.
   
 2. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Sijui serikali hii ya wezi na vilaza kama inaliona au kulijua hilo. They are busy thieving haya mambo ya muhimu watayaona lini iwapo yao ni ya hovyo ambayo wameyageuza muhimu. Sijui kama rais wako analijua hili iwapo muda wake mwingi unaishia kwenye kuzurura. Ni hatari kuwa na watu kama hawa kwenye madaraka.
   
 3. Wikiliki

  Wikiliki JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  wewe angalia google earth utaona hakuna mpaka wa kudumu kama sehemu nyingine emewekwa mark nyekundu tu.
   
 4. dada white

  dada white JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Angalia vizuri
   
Loading...