Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba za kukopa za pspf

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Anthony Lawrence, Oct 4, 2012.

 1. A

  Anthony Lawrence JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,433
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Jamani naomba msaada kwa yeyote anayefahamu kuhusu, kwamba PSPF wamejenga nyumba za kukopesha zilizoko eneo la Buyuni, DSM. Je, nyumba zina ukubwa gani, bei zake kiasi gani na unalipa kwa muda gani?
   
 2. m

  mnyakyusa JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 245
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sikiliza na angalia kipindi cha maisha ni Nyumba Channel ten
   
 3. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 1,797
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Kile ni cha NHC. Kuhusu ili lazima uwe na Ki-memo vinginevyo unapigwa chini. Angalia nyumba za NSSF wengi wanaokaa humo hawachangii hata nkidogo kwenye mfuko huo. Ni vimemo tu vinatembea, we acha tu!
   
 4. E

  Edo JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hizo nyumba zitauzwa kwa wanachama wa pspf kwanza zikibaki watu wengine watauziwa pia , bei inategemea aina ya nyumba na zinaanzia vyumba 2-4 (shs 60mil-80 mil). Mnunuzi unakopa ktk benki na malipo ni miaka 20-25, na hakuna deposit ya 20-30% ya mkopo kama taratibu za kawaida za mikopo ya aina hii kwa ktk benki, matangazo yatatoka muda si mrefu juu ya utaratibu.
   
 5. Penguin-1

  Penguin-1 JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 400
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nyumba zimeshakamilika kwa karibu 90%...
  huwa napitaga hapo wkend maeneo ya kigezi
   
Loading...