Tahadhari:Barabara ya Tanga-Horohoro Magufuli iangalie,imeanza kuharibika mapemaaaaaaa!!

matongo manawa

JF-Expert Member
Apr 6, 2011
336
79
Kwa heshima na taadhima nakuomba Mh Magufuli uiangalie kwa makini,mana imeanza kuchimbika na kukwanguka lami
hata kabla ya yakukamilika ujenzi.
Barabara hii inajengwa kwa ufadhiri wa MCC,waliopewa kandarasi ni wahandisi wa Kichina na spidi Yao si haba,vibao vya barabarani vimeshawekwa vizuri na kunapendeza ila ubora wa barabara unatia shaka.
Maeneo yanayoanza kuharibika ni kuanzia vijinga mpaka Tanga mjini vile ile lami hii inazidi kuwa nyeupe tofauti na lami nyingine tunaona huwa ni nyeusi.

Tunaomba barabara hii ikaguliwe mana niyetu watanzania wote.
 
I see what you mean.....salt erodes everything that comes its way

IMG_3612.jpg
 
Back
Top Bottom