Hila za kidini zinathibitishwa na kiongozi wa uamsho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hila za kidini zinathibitishwa na kiongozi wa uamsho

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by akide, Oct 22, 2012.

 1. a

  akide Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tukikumbuka mauaji ya Raisi wa Rwanda,ilisemekana aliuliwa na watusi, ila ukweli ni kwamba wahutu ndiyo walimuu Raisi kwa kutungua ndege na huyo Raisi alikuwa Muhutu.
  Wahutu walifanya makusudi ili wapate sababu ya kuwaua watusi kwa kuwasingizia wamemuua Raisi ambaye Mhutu mwenzio.
  Na kweli baada ya hapo walifanya mauaji ya chinja chinja Rwanda.
  Tuangalie sababu ya Kiongozi wa uamsho kusingizia kutekwa,ilikuwa ni kusababisha vurugu alijua/au walipanga wafuasi wake wafanye wanayofanya.
  Hata udini Tanzania,kuna dini zina jazba,visasi,wanatumia njia zilizotumika Rwanda kusababisha vurugu.
  As Great Thinker tuangalie haya mambo kwa jicho la tatu kama tunaweza kuchezeana na kuleta vurugu kiasi hiki.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kuna makuwadi wa shetani miongoni mwetu!
  Kuna vampires wanaotaka kunywa damu za watanzania.
  Wanatumia kigezo cha dini kuwasha moto huo...Ni wakati ambao kila mwenye akili na azitumie sasa.
  Nimefurahishwa sana na viongozi wa dini inayohusishwa na vurugu kuweka wazi hili jambo kuwa si la kidini, bali ni la watu wenye maslahi nalo.
   
 3. m

  mr.dominick JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WEWE SIO TU GREAT THINKER BALI NI MTU UNAYEONA KWA MACHO 5 HATA cnn ; bbc; al jazeera hawaoni kitu

  Lakini bahati mbaya GREAT THINKER hujazitaja hizo dini zenye jaziba na visasi Tanzania
   
 4. m

  mr.dominick JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tukikumbuka yale maneno ya yule bwana aliyeshindwa uchaguzi 2010 na kusema kuwa hii nchi haitokalika inapata picha kamili ni nini lengo lake
   
 5. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Tatizo rafiki zangu Waislamu hata wasomi wao, wanalalamika kwamba wanaonewa bila kutoa mifano ya nini kifanyike hili waone kuwa wanapewa fulsa sawa. WANATAKA NINI KIFANYIKE HILI WAWE SAWA NA WAKRISTO?
   
 6. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Your argument is correct but you have cited wrong example, the fact about the killing of the late Habyarimana was tutsi who killed him not hutu
   
 7. Azizi Mussa

  Azizi Mussa Verified User

  #7
  Oct 22, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 7,601
  Likes Received: 2,240
  Trophy Points: 280
  suala la udini kwa kiasi lilikuwepo ila viongozi wetu wamelishughulikia mpaka lilipokaribia kuisha,sasa waislam tumeamua tulishughulikie wenyewe kwa njia zisizokuwa sahihi.mfano nyerere alipoingia madarakani alikuta shule ni za kimissionary na waislam hawasomi(udini) katika jitihada za kutatua tatizo akataifisha shule zote binafsi,lakini kwa kuwa tayari wakristo wengi walikuwa washasoma bado wakawa wana advantage zaidi na wakawa wanazitumia ki maslahi, lakini jitihada hizo zimeendelea mpaka kufikia leo,hali ni kama imekuwa sawa na ndio maana hata ukiangalia leo hii kuna viongozi wengi tu waislam.kwa hiyo hakuna mtu anayekataa kwamba hali hiyo haikuepo,sema suala ni hatua zinazochukuliwa sasa na waislam ndio sio sahiihi.hata ile kadhia ya mbagala;hakuna mtu anaepinga kwamba alichokifanya yule mtoto ni kosa;laa! Watu wanachopinga ni hatua iliyochukuliwa na wale watu wanaodai ni waislam ya kuharibu mali za wakristo.na sas hivi wakati watu wengine wakichukua hatua za kumaliza kabisa udini;akina ponda wao ndio wanataka sasa kuupalilia.yaani ni sawa na ugundue siku za nyuma jirani yako alikudhulumu,lakini katika kipindi kilichopo kaacha au msuluhishi yuko kwenye harakati za kuhakikisha anaacha,mwishoni mwishoni unasema sasa na mimi ngoja nianze dhuluma na sitasikiliza la mtu maana hata mimi nilishadhulumiwa?hivi na wewe utakuwa ni muadilifu kweli?chakufanya sasa ni serikali iache uhuru wa dini,iwe ya kisecular kwelikweli,kisha kila mtu,dini,au dhehebu isimamie mambo yake bila kuingiliwa na mtu mwengine,pawe na hali ya kuheshimiana na nia njema.
   
 8. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,864
  Likes Received: 1,148
  Trophy Points: 280
  Natamani Waislam watoe Majina ya wote waliokosa Uongozi chuo ajira kwa sifa ya kuwa Muislam hap Tz
   
 9. sindano butu

  sindano butu JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  Are you sure what you are telling us, au ni kuchochea mambo!!
   
 10. juve2012

  juve2012 JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 3,336
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 0
  gazeti la ANNUR no 87,march 1997 lilikuwa na kichwa:TANZANIA KUWA JAMHURI YA KIISLAM.yote yanayotokea sasa yalipangwa.tafuteni msome.
   
 11. M

  Michael Mwakyusa JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 307
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mkuu acha masihala kwenye suala nyeti kama hili,naona wewe ni mmoja ya wanaotumika.
   
 12. m

  mr.dominick JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unafanya masihala wewe , Bwana Mkubwa alisema au hakusema ??
   
 13. m

  mr.dominick JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe huwezi kutuwekea hiyo article yote humu ??? au link yoyote tukasoma wenyewe ?? pengine wewe umesoma out of context
   
 14. juve2012

  juve2012 JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 3,336
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 0
  ndio lengo langu lkn kila nikiandika article ndefu inanigomea kutuma.sijui nakosea nini!
   
 15. w

  wa majambo Member

  #15
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 20, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sijui mnakosaga ya kuongea!!!...yan tangu asubuhi umekaaa umefikiria la kuandika humu ndo ukaangukia hapa!
  Sio lazima utupie post humu unaweza kukaa kimya tu ukaheshimiwa kuliko kuropoka na kudharaulika!msipokaa bila kuongelea la waislam sikuiz hamjiskii raha.....foolish!
   
 16. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,333
  Likes Received: 2,335
  Trophy Points: 280
  Kwan we mgen hapa Duniani?
   
 17. m

  mr.dominick JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tuma kidogo kidogo
   
 18. m

  mr.dominick JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni mgen kama ulivyo wewe
   
Loading...