Lowassa aanza kueleweka, atoa agizo kwa wananchi... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa aanza kueleweka, atoa agizo kwa wananchi...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Karibuni masijala, Oct 21, 2012.

 1. K

  Karibuni masijala JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 409
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi

  Mheshimiwa Edward Lowassa; Amekiri alipoanzisha mjadala wa tatizo la ajira kwa vijana ni bomu linalosubiri kulipuka HAKUELEWEKA.

  Ni kweli serikali kwa kumtumia Mhe mama Kabaka walijibu mapigo na wengineo ndani na nje ya ccm na serikali.

  Leo Mheshimiwa amesema wameanza kumuelewa akakazia kama wagombea Urais mataifa makubwa kama vile marekani wakina Obama na mwenzake wanazungumzia tatizo la ajira sie ni wakina nani tusione ni tatizo tukachukua hatua hata mmojammoja kulitatua.

  Kuhusu vikoba amewambia Wanawake wawatume wabunge bungeni wakadai mabilioni ya JK Sasa yapelekwe kwenye VIKOBA na si mkoani tena. Akatoa wito kwa mbunge atakayekataa kutetea VIKOBA Anyimwe KURA!!!

  Ni kweli kutoka eneo la tukio na taarifa za habari, vituo vya channel 10 na ITV kwa kina.

  Wanajamvi wabunge, wapinzani wake, wapambe, wana vikoba, Serikali, Waliokosa ajira hasa vijana, Wanajamii forums tuchangie hoja hizo mbili Karibuni
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Huyu si ni Fisadi! Richmond na mvua za thailand ?
   
 3. K

  KIBE JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu mtu ukweli uko wazi jamii sasa inaaza mkubali sana kuwa ndie kiongozi anayeweza kuikomboa hii nchi ..tuache siasa za majungu..leo nimeona kinamama ambao ndio wapiga kura wakuu katika siasa za tanzania wanamshangilia si kawaida wakati anazindua mradi wa vikoba..

  Shime chadema acheni kuzungumzia watu sasa sijui nani fisadi nani mwizi siasa hizo sasa zimechuja ..jengeni chama kwa mtindo wa kutoa mipango yenu mtafanya nini zaidi ya ccm wanachokifanya..
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Fisadi oyeeeee

  Kamata mwizi men

  Richmond

  Mvua za Thailand
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,547
  Likes Received: 18,210
  Trophy Points: 280
  Japo mimi ni mshabiki wa EL achaguliwe kuwa mgombea kupitia CCM, its not right kumuita "rais mtarajiwa" wakati ambao hata uhakika kuwa atagombea haupo!. News na mimi niliiangalia na nimemsikia vema. Jambo moja zuri ni kuwa tofauti zilizokuwepo baina yake na "Rupert Murdoch" wetu zimemalizika, sasa EL anaonekana kwenye "Sky News" yetu!. Hapo nyuma, ilikuwa ni marufuku kwa sura yake kuonekana popote kwenye tv yake!.
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  unaweza share tofauti zao hasa zilikuwa juu ya nini?
   
 7. m

  mpigauzi JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yamekuwa haya
   
 8. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Exim bank
  DTB Bank
  Bank of baroda

  Sasa lowasa hoyeeeeeee.........
  2015 chiniiii chin zaidi.

  V
  SENGEREMA
   
 9. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Huu upepo wa uraisi bado unavuma upande wake,,,, Mimi tofauti na Zitto Kule CDM, huku CCM namuona EL pekee wengne Wote hawana kauli thabiti kama Magubegube tu.
   
 10. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  mbona povu linakutoka hivyo? unajua kuwa speedd has magnitude and no direction? sawa inayo 280 ila haina uelekeo........
   
 11. Rapha

  Rapha Tanzanite Member

  #11
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 631
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Who is Rupert Murdoch?
   
 12. StayReal

  StayReal JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 519
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu hapo kwa magnitude na direction nimekubali,so jamaa speed tu with no directon!
   
 13. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  hahahaha

  kisayansi zaidi
   
 14. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Heshima mkuu Pasco, utuambie juu ya huyu mmasai, mbona ana kiu saaaaana ya kuwa rais?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Mla Rushwa mkubwa!
   
 16. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,547
  Likes Received: 18,210
  Trophy Points: 280
  Kiukweli sijui, ila ninachojua, nilipeleka prog yangu pale yenye insert ya EL, jamaa wakagoma kuirusha mpaka nilipolazimishwa ni mu edit kumuondoa!. Jamaa wakaniambia EL haruhusiwi kuonekana kwenye screen yao!. That was then, now EL anatamba vilivyo kwenye screen yao tena with long insert!.
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  Inaweza kuwa vimwana lol
  kama Masha?
   
 18. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,547
  Likes Received: 18,210
  Trophy Points: 280
  Mwenyekiu ya kuwa rais ni yeye au Taifa lina hali mbaya ndilo linalomtaka mkombozi wa type yake!. Yeye mbona ameshasema wasi, tutazungumzia kuvuka daraja, tutakapofika darajani!.
   
 19. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,274
  Trophy Points: 280
  Mheshimiwa Pasco,

  Rupert Mardoch wetu amekuwa ana msukumo gani kwenye siasa za Tanzania? maana huyu Mardoch wa kweli ana nguvu sana na anaweza kuyatumia magazeti kushawishi upepo wa mawazo ya wananchi.

  Sasa huyu wa kwetu na Sky News ya TZ hakuna kitu, nani amemtuliza?
   
 20. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Huyo anafahamika kwa Rushwa tena zile kubwa kubwa
   
Loading...