Tanzania inahitaji ""ANT TERORISM UNIT"".. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania inahitaji ""ANT TERORISM UNIT""..

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zubedayo_mchuzi, Oct 23, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Naomba kuwa uliza wachambuzi wa mambo ya intelligence...Tanzania inakitengo cha kudili na Magaidi.
  Kama hamna ni wakati mzuri wa kuwa nacho..ili kwenda sawa na hali ya Usalama wa Taifa letu.
   
 2. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Walienda training Marekani baada ya mabomu ya Ubalozi wa Marekani karibu na Salenda Bridge. How effective they were trained to become na how effective they actually are hapo sasa sijui.
   
 3. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Kweli kuna kazi....kama hawapo vile..
   
 4. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Huwezi jua ni watu wa aina gani walitumwa pale. Unaweza ukute walichaguliwa watu kwa vigezo vya kujuanajuana tu na si competence. Professional competence si kigezo kabisa katika maamuzi hapa nchini. Nina taarifa ya CID officer mmoja ambaye alikuwa very creative kumfuatilia mhalifu katika basi likisafiri kati ya Dar na Moshi akitafuta mtu ambaye alizowea kulisha watalii dawa ya usingizi na kuwaibia. Safari hii mwizi huyu mzoefu alimlewesha Mjapani lakini yule CID akawa kamfuma red handed akitia dawa katika Chungwa, Mjapani kalewa kisha akamwibia. Lakini Basi likapelewa Same Kituoni na Mwizi yule kuwa apprehended.

  Guess what happened?

  Yule criminal alikuwa na connections kubwa zaidi kuliko yule CID katika Police Force na kesi iligeuzwa yule CID akawa ndo mbaya. Sasa we unambie nani atafanya kazi kwa moyo katika nchi ya namna hiyo. Nchi hii inahitaji total overhaul for professionals to operations correctly. Hata kama anti terrorist unit ipo, nakuapia haiwezi kufanya kazi yake vizuri katika mazingira ya kiuongozi tuliyo nayo.
   
 5. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Duh kwa maelezo hayo hakuna Police anaeweza kufanya kazi hyo hata kama yupo competent..
  Kwa maana nyingine hichi kitengo cha ATU Hakipo nchini na hii yote kwa ajili ya maslah binafsi.
  ..
   
 6. A

  Africa_Spring JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hatuhitaji kitu kama hicho, nani kakuambia TZ tunahitaji
  Nchi yetu ipo salama. hii sio Iraq,Syria,Turkey au nchi zingine zinazoiungamkono Marekani.
  Juzi Raisi wetu kaenda Oman kuweka mikataba....sasa kwa nini MULLAR DADULA OMARY ajeatupige mabomu wakati sisi tunawaunga mkono warabu na sharubu zao.
  Tunahitaji ANT-UFISADI UNIT na sio CTU
   
 7. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  ha ha ha ha...mbona umeikana hyo
   
Loading...