Hivi kibonde anafikiria nini wakati mwingine?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kibonde anafikiria nini wakati mwingine??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Prince Nadheem, Oct 30, 2012.

 1. Prince Nadheem

  Prince Nadheem JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 1,026
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  Habari za leo wanajamii!!!
  Jana jioni nikiwa ndani ya daladala narudi nyumbani kutoka kazini, Radio hewani ilikuwa ni clouds fm jahazi. Sasa ilikuwa ni ile segment ya magazeti ya leo ambapo walikuwa wanazungumzia ushauri aliotoa Dovutwa kwa raisi wa nchi kuwa ni bora angejiuzulu kwa kushindwa kushughulikia tatizo la RUSHWA NDANI YA CHAMA Kufuatia chaguzi zilizopita za ndani ya chama ambapo suala la rushwa lilikuwa nje nje.

  Sasa basi huyu KILOPO bwana Kibonde akaanza eti “ooh hawa waandishi wanauza magazeti kwa cheap stories za siasa maana kama ni suala la rushwa wao wanaishia kuripoti tu. Kama wao ni waandishi bora kwanini wasingeingia na kufuatilia kwa undani haya madai kupata ushahidi na vidhibiti na hatimae kuwakamata. Sasa wao wanaishia kufanya kazi za tunasikia… very stupid” Hapo ni mwisho wa kumnukuu.
  Sasa basi mimi ninajiuliza maswali yafuatayo;
  1. Katika kazi zao waandishi wa habari wanakuwa ni makachero wa rushwa??
  2. Na je nini kazi ya makachero wa PCCB ambao wanalipwa vizuri tu kwa pesa za walipa kodi wengi ambao ni masikini na ndio VICTIM wa rushwa??
  3. Hivi ni nini hasa kinampa huyu KIBONDE jeuri ya kuwaambia/kuita kazi za wenzie stupid?
  4. Waandishi wenzie angalau wanapaza sauti na kalamu zao kuwasilisha hayo matatizo sugu,je yeye kafanya nini zaidi ya kubwabwaja pumba tu ndani ya studio na kupamba hao wala rushwa??
  Mjadala upo wazi wanandugu.
   
 2. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  hujamjua tu kibonde?? alikuwa anacheza rede na dada zangu wakati wanasoma! ni wa kuhurumiwa tu! asikupotezee muda wala usimfikirie!
   
 3. Mkuu rombo

  Mkuu rombo JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu huyo jamaa kaishia kidato cha nne kwa kupata div 4,,2sibishane na wajinga na sisi 2taonekana wajinga ye angoje akawe mc kwenye sikukuu ya kuzaliwa ya jk
   
 4. serio

  serio JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,925
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  jamani kibonde muacheni,, kichwa chenyewe ni 'shake before use' anajielewa mwenyewe
   
 5. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,390
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Anataka ukuuu wa wilayaaaa
   
 6. o

  obwato JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Aliwahi kukejeli kuwa kuna wehu eti nao wanagombea ubunge akimlenga SUGU aliposhinda akawa mdogo kama kiroboto. Anapenda sana sifa huyu jamaa. Tangu JK aanze kuteua waandishi wa habari kuwa ma DC watu wanasahau fani na kujifagiria hovyo.
   
 7. Mwakitobile

  Mwakitobile JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 453
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Huyo kibonde 1.Hapo clouds hana mkataba wa ajira ni deiwaka tu. 2.Siyo mwandishi wa habari ni Mc tu. 3.Elimu yake ni ndogo,ambayo aliipata baada ya kufanya vibaya shule(form 4 failure) 5.Kibonde na mkewe wote ni waathirika wa muda mrefu,ushaidi wa kutosha upo,labda ndiyo maana anakuwa mtu asiyejali kitu kwani maisha yake yapo matatani tayari.
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280

  Kibonde hajawahi kufikiri hata siku moja....his tongue replaced his brains at birth
   
 9. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,645
  Trophy Points: 280
  mmh! hii hataree
   
 10. don12

  don12 JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 11, 2012
  Messages: 676
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  mbona mnapoteza muda, kwani mbona jina lake linadhihirisha? kibonde ni kibonde tu, hata kufikiri kwake,
   
 11. M

  Mama msomi New Member

  #11
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani mwenzenu nilishamsamehe huyo kaka maana most of the time anaongea pumba tu na kuifanya clous kuonekena redio inayotetea ccm,but nadhani anatakiwa kujirekebisha lasivyo watu tutakuwa tunahoji uwezo wake wa kufiriki.Wanasheria wanasema haingii kwenye kipimo cha "a reasonable person in the society"
   
 12. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,645
  Trophy Points: 280
  KIBONDE
  Tatizo linalomsumbua huyu ndugu ni kuwa na kiherehere....sasa mbaya zaidi ni mwanaume basi kile KIHEREHERE ndio kinaonekana nje na ndani
   
 13. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  :majani7:
   
 14. Rahajipe

  Rahajipe Senior Member

  #14
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 29, 2012
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  :confused2:
   
 15. s

  sawabho JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Kila mmoja ana njia yake ya kuonyesha uwepo wake katika jamii. Wengine hufanya kazi kwa bidii katika kusaidia Jamii na wengine hupayuka ovyo ilimradi nao wakumbukwe kuwa wapo.
   
 16. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Sasa hivi sisikilizi Jahazi hadi Anorld Kayanda arudi kwenye kipindi chake. Yaani, hao waliobaki wanakiendesha hicho kipindi utadhani ni makanjanja!
   
 17. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  KIBONDE is kibonde .... anatafuta ukuu wa wilaya huyu jamaa.............
   
 18. isambe

  isambe JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 2,053
  Likes Received: 881
  Trophy Points: 280
  Mie huwa nawashangaa wanaopoteza muda wao kulijadili hili Dumuzi,Huyu mtu kazi yake ni ushereheshaji kwenye shughuli,sasa mtu wanamna hiyo una mgrade vp?,Kwa mantiki hiyo hata wewe uliyetuletea hii habari ninakuona wa type hiyo,Next time usituletee upuuzi wa mpuuzi!!!!
   
 19. Mangimeli

  Mangimeli JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  uyo mdada anayesema kibonde kaathirika mbona mzigo kampa au baada ya kumtosa ndo ameamua kutangaza,pole sake
   
 20. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Kibonde ni MC dau lake ni mil 1.5,hachagui sherehe hata kitchen party anafanya.
   
Loading...