Tbc tv ovyo kabisa! Ni aibu kwa shirika hili la umma.

Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
15,136
13,258
Heshima kwenu wenzangu! Nimeshindwa kuvumilia hili. Kila wakati ninapoangali taarifa ya habari kama kosa halitatokea kwa mtangazaji kutoa habari zisizopaswa basi anakosea kusoma. Na zaidi ni kutoa coverage ndefu ya ccm as if ni media yake. Aaghhrr!
 
Habari zote za muhimu wameskip wanatangaza mambo ya wagawa rushwa wa ccm wakati kuna watu walisaini mikataba bila kuisoma huko!

Kwanza kutumia kumbi za chuo cha mipango wanalipia kweli hawa? na je cdm wanaweza kupewa hata kwa kulipia?

Taarifa zingine zinasema Heche amewakoromea ccm huko Njombe kwa kutumia magari ya serikali kwenye kampeni, hayo yote wanaona sio news!

Na je M4C inayoendelea huko mikoani haitakiwi kuripotiwa?

TV ya wajinga hii!
 
Back
Top Bottom