Mafisadi

dubwela

Member
Oct 23, 2012
28
2
Cku ya jumapili vyombo vingi vya habari vimetoa habari kwamba kunabaadhi ya viongozi wa dini wametoa maneno kwa waumini wao kwamba TUNAOMBEA AMANI wakati huu na wakati huu pengo kati ya masikini na tajiri linazidi kuongezeka kwakasi sana kama kimbunga SANDY. Wanatajwa katika kukwepa kodi na kulipa bili ya umeme na hata kutoa rushwa katila kukwepesha mjengo usibomolewe. Je MAFISADI wameamua kuingia katika DINI kuwa na wafuasi wengi na kujilinda huko?
 
Back
Top Bottom