Watumishi wizara ya uchukuzi wanastahili pongezi za rais | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watumishi wizara ya uchukuzi wanastahili pongezi za rais

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Penguine, Oct 29, 2012.

 1. P

  Penguine JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,226
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Ndg WanaJF,

  Kwa mawazo yangu,nafikiri Watumishi wa Wizara ya Uchukuzi WAMETHUBUTU, WAMEWEZA na Wanastahili pongezi za Mwajiri Mkuu wa nchi ambaye ni Rais wa Serikali ya JMT ili waweze KUSONGA MBELE.

  Mtazamo wangu huu unatokana na idea ya Wizara kufufua usafiri wa treni ndani ya Jiji, kukarabati treni hiyo na "barabara" yake na kisha kulifanya wazo hilo kuwa ukweli. Materializing the dream. Wizara imeufufua usafiri huo kutoka katika ufu ndiyo maana naona Watumishi wake wanastahili pongezi, tena kutoka kwa Mkuu wa nchi ili Watanzania wengine wapate kuiga, tuwe taifa la wachapa kazi.
   
 2. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  yaani mawaziri wote wa uchukuzi wa awamu hii ya nne wameshindwa kufanya kazi ambayo mwakyembe kaifanya in 6 months...kweli hii serikali ilikua na vilaza tu wanachojua ni kuchota mali za umma basi hawafanyi kazi
   
 3. B

  Boniface m Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Mwakyembe ni mtumakini binafsi akigombea urais kurayangu ninampa.
   
 4. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Anaonesha njia, BRAVO MWAKYEMBE
   
 5. S

  Swat JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 4,182
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Nimepishana na hii train leo mida ya saa 11:45 asubuhi pale mabibo relini ikitokea mjini. Watu wamekaa vizuri ndani,wamejinafasi na hakuna majasho. Walisema mawaziri wengine ni wakuja,mbona hawa wa kuja ndio wanaochapa kazi. Hongera mwakyembe,magufuri na muhongo.
   
 6. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Watumishi waliofufua vichwa vya treni na mabehewa yake ndiyo wanaostahili kupewa pongezi na Wananchi na siyo Rais! Kodi za wananchi ndizo zilizofanikisha wao kutimiza jukumu lao. (Na siyo fedha za rais!)
   
 7. CRISTA

  CRISTA Member

  #7
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Mnatisha;kwani hao viongozi wooooooooooote waliopita walikuwa hawatingishi hata nywele moja tu kufanya hayo
   
Loading...