Wadau najiuliza sana Nani mwenye jukumu la kulinda Amani ya nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wadau najiuliza sana Nani mwenye jukumu la kulinda Amani ya nchi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Janja PORI, Oct 31, 2012.

 1. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  nimeskia tetesi za hapa na pale ooo ijumaa ijumaaa hivi ni nani ana jukumu la kulinda amani na je Katiba inasemaje kuhusu iliii. je ni polisi, jeshi au wananchi
   
 2. K

  K.Msese JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,467
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  Kila mwananchi wa nchi hii ana jukumu la moja kwa moja kulinda usalama wa Tanzania, akianza na kujichunga mwenyewe dhidi ya vitendo vitakavyo vuruga amani ya wote.......!

  Kibanga Msese
   
 3. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mlinzi wa Amani ni Mwenye nchi ambae ni Mimi na wewe...Polisi wanalinda vibaka, jeshi nchi maadui na wavamizi wa mipaka kama Malawi UPo APo?
   
 4. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Jeshi jeeeee
   
Loading...