Usafiri wa Treni wageuka Kero Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usafiri wa Treni wageuka Kero Dar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mkonowapaka, Oct 31, 2012.

 1. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,481
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Jana jioni nikaona si vibaya na mimi nikajisogeza kunako Stesheni nijionee hali halisi na jinsi ambavyo treni yetu imeweza kw akiasi kikubwa kutatua tatizo la usafiri.

  mnamo saa 1 kamili ya jioni nilikua pale stesheni.Nilionyeshwa sehemu y akununulia Tiketi nikapata moja.

  baada y akuingia ndani nilikutana na Treni ya Kigoma ambayo inapaki sambamba na treni ya ubungo-stesheni.Muongozaji alitoa muongozo tusijekujichanganya.


  Idadi ya watu niliyokutana nayo pale sio chini ya watu 1000. na watu wliendelea kuongezeka kadri muda ulivyokua unasogea.

  Treni ilifika mnamo saa 1.30 ikiwa tayari na abiria nilipochunguza nikaambiwa walipandia kituo cha kamata.Kati ya watu 1000 waliokua stesheni ni takribani watu 400 tu waliopata nafasi.

  Hali ilikua ni ya kugombania kupita kiasi na watu kujazana kwenye treni kuliko hata za India......

  tuliokata tiketi ikawa imekula kwetu.Mbaya zaidi izo tiketi sio rasmi kwa maana kwamba>zinaprintiwa na mashine za selcom then wanaikata mara tatu ile printout wana ipiga mhuri.Ile tiket moja ya selcom inakatwa zaidi ya mara 3 hadi 4........sidhani kama huo utaratibu upo official,otherwise ni hujuma.

  Ombi: mabehewa yaongezwe hasa muda wa jioni.....
   
 2. isambe

  isambe JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 2,058
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Inabidi mwakyembe afungue kituo cha kupokea maoni,kuh Treni zake za mjini,au aandike kwenye hizo treni zake namba za kupiga kama una maoni au malalamiko kuhusu huduma hiyo.
   
 3. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 10,346
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Hivi sijui Watanzania tumelogwa au ni nini! Huu usafiri umeanza juzi tu tayari mnakosoa as if kuna mtu aliyajua haya na anafanya makusudi.

  Watu kujaa ni dalili tu ya muitikio na kwa kuwa hilo limeonekana basi litashughulikiwa. Ukitumia akili zako vyema utakubaliana na mimi kwamba kwa siku hizi za mwanzoni wapo ambao wataenda kupanda treni kwa ushabiki na kujifurahisha hata kama hawana safari.

  Watu wa kusini na Kaskazini waliozaliwa miaka ya 85 kuja juu ni dhahiri wengi wao hawajawahi kupanda treni kwa hiyo wataona huu ndio wakati wao wa kuonja hio kitu na hilo halina kuwazuia.

  Hebu jaribu kukaa kimya kidogo tuwape nafasi za kujipanga kwa kadiri mambo yanavyobadilika
   
 4. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Tatizo watanzania sio waelewa! ninachokumbuka mimi au kuelewa ni kuwa treni hizo zina siku 3 tu toka zimeanza safari, tena ni kwa mara ya kwanza kabisa Tanzania, hivyo changamoto lazima ziwepo!

  nakumbuka tena waendeshaji wa mradi huo wamezungumza mara kadhaa (akiwemo Dr Mwakyembe) kuwa mwanzo utakuwa na changamoto nyingi ambazo inabidi tuzivumilie watanzania

  Sasa nashangaa leo wewe mtanzania mwenzangu ambae sio muelewa unaanza kuorodhesha matatizo ya treni hizo, jamani hebu tubadilike mara nyingine tukubali mapungufu na tujipe matumaini yatarekebishika!

  nafikiri kuwepo kwa tatizo ndio mwanzo wa kutatua tatizo.
   
 5. by default

  by default JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  gogo limekuwa kero tena
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  Mbona wenzetu wakianzisha treni zao wanakuwa wameshazifikiria changamoto zote na kuzitatua kabla ya kazi kuanza. Sema akili zetu finyu tu. Tunajuwa kabisa kutakuwa kuna changamoto lakini hatuzitafutii ufumbuzi mpaka zitakapotokea wakati tuna uhakika zitatokea.

  Nawalaumu waendeshaji na siwezi kumlaumu Mwakyembe, mwishowe watu watataka mpaka Mwakyembe ndio akaendeshe hizo treni, akakatishe tiketi, awapangie root na muda wa kuondoka na kufika, awapangie wafanyakazi.

  Ni ujinga kuwawachia watu waliouwa treni ya kati kuendesha treni hiyo.
   
 7. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  waziri alisema hizo treni bado ziko on trial so itabidi mvumilie, mue pia mnatumia mabasi
   
 8. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,837
  Likes Received: 1,639
  Trophy Points: 280
  sawa mkuu
  wasalimie mwananyamala huko
  siku njema
   
 9. Ufunguo

  Ufunguo JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  We are always more reactive than proactive. That's what is happening, ule msemo wao wa upembuzi yakinifu mbona sijausikia katika mradi huu wa tren?. Hata hivyo hongera Mwakyembe kwa kuthubutu, wengine watajifunza from there umhimu wa kufanya tathmini ya awali and think outside of the box.
   
 10. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,675
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Kiukweli hii treni ikisimamiwa vizuri inaweza kuleta tija na si ajabu hata route zikaongezeka zaidi nina ukakika watu wanaotokea Tegeta na mbagala watahitaji sana huu usafiri...Mambo taratibu jamani Rome was not built in day!! Keep it up Mnyambala!.....mbombo nkafu fijo!!...mbibimbibi!!...
   
 11. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,446
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  binadamu ni kiumbe mzito sana habebeki ,ni siku 2 tu mmeanza kulalama namna hiii hatutafika tunakoelekea .
   
 12. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,812
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Siwezi kuangaika kupanda treni za mwakyembe
   
 13. d

  december Member

  #13
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tuwape muda hawa wenzetu badala ya kuanza kukosoa ndani ya muda huu mfupi tangu mradi huu kuanza.
   
 14. Mr Dhaifu

  Mr Dhaifu JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 766
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mimi mwenyewe sijawahi panda treni ndio muda muafa nitoke huku tegeta nijisogeze station nipande mpaka ubungo nione huwa ikoje humo.
   
 15. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,604
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  Sema akili yako na MaCCM menzako ndio Finyu.

  Second, kama hawajajitayarisha, kwanini wanaanza kwa amri ya kisiasa kutoka kwa Mwakembe?
  kwanini Mwakembe asihakikishe kila kitu kimekuwa sawa kabla ya kuanza operations?

  Au alikuwa anataka kupigiwa makofi hata kama Treni siku ya kwanza inazima njiani?

  Acheni..:majani7::majani7::majani7: Nyie!
   
 16. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 10,346
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Akili finyu unazo wewe na aliyekulea, KOMA!

  Si kila changamoto inafahamika kabla. Yapo ambayo yalitakiwa yashughulikiwe mwanzo lkn kubwa analoliongelea huyu muanzisha mada ni la kukurupuka.

  Sasa hivi kuna rundo la wasafiri wasio rasmi wanatumia ile treni kwa hamu tu na wala hawana safari. The same ilitokea kwa Ferry ile mpya ya magogoni ilipowekwa majini kwa mara ya kwanza. Hawa wakishapungua, ndio idadi ya watu itajulikana, kwa sasa ni lawama za kijinga.

  Hao wenzetu unaowasema wewe kuwa wakianzisha treni zao wanakuwa wameshazifikiria changamoto na kuzipatia ufumbuzi ni kina nani?


  Sema walianza zamani, sasa kwa akili ya Kizombazomba unadhani waliamka wakaunga vyuma na kuanza kukwea. Tupo nyuma katika kila kitu, leo hii tuwalaumu wa treni.

  Hao unaowaita wenzetu na wao madini yao yanaibiwa kwa peni kama yetu?
  Hao unaowaita wenzetu na wao wana muda wa kupoteza kuandamana kipuuzi kama utakavyoandamana kesho au wako bize maofisini kuzalisha?
  Hao unaowaita wenzetu na wao wanafunga shule zao za sekondari ili wanafunzi waende wakaandamane kwa mambo yasiyo na tija kwao?
  Hao unaowaita wenzetu na wao wana watu kama wewe?
   
 17. A

  Anold JF-Expert Member

  #17
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,253
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Nimapema sana kuhukumu aidha imeshaelezwa kuwa kutakuwa nakero ndogondogo watu wavumiliye zaidi sana wakiona inalipa wataongeza mabehewa kwa muda huu tuwatiwe moyo hao walioanzisha huduma hii
   
 18. ndiuka

  ndiuka JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 205
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  kuna watu walijichanganya wakapanda treni la mkoani....
   
 19. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,320
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  duuuuu siamini kama ni wewe umeandika point hivi leo hongera sana
   
 20. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #20
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  duuu ngoja nitafute maji ya kunywa kwanza!!!
   
Loading...