Tanesco hatuwaelewi na umeme wenu leo Kimara!

cement

JF-Expert Member
May 5, 2012
581
218
Hii ni mara ya kumi ss unawaka unazima unawaka unazima kama kuna tatizo ni bora mkazima moja kwa moja ili mpate fulsa ya kurekebisha!tofauti na hapo mtatuletea matatizo ya kutuunguzia vitu na hatutawaelewa!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom