Chadema wanavalia suruali tokea juu CCM wanavalia suruali kutokea chini ya miguu

KIBE

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
943
184
Nafikiri mumenielewa chadema.... Huo ndo muondo wenu wa chama kwa hiyo kamwe hamtaweza ongoza nchi hii kwa sanduku la kura kwa muundo huo....tofauti na ccm .
 
Wewe wasema,naona una hasira za kunyimwa ugali na mkeo,ENDELEA KULELEWA WEWE MUME Bw..eg..e
 
Thread ya hoovyo kabisa. Ilifaa kuwa comment kweny thread fulani. Silly period
 
ukivalia suruali kutoka chini mbele ya basha upaka ufikishe kiunoni utakuwa hoi.:becky:
 
Nafikiri mumenielewa chadema.... Huo ndo muondo wenu wa chama kwa hiyo kamwe hamtaweza ongoza nchi hii kwa sanduku la kura kwa muundo huo....tofauti na ccm .

Kwani suruali huvaliwaje? Si unaingiza miguu juu ya suruali? sasa nyie CCM mnavaaje suruali?
3992_executive_cartoon.gif

wewe wasema,naona una hasira za kunyimwa ugali na mkeo,endelea kulelewa wewe mume bw..eg..e

tatizo la chadema narudia tena pokeeni ukweli hata kama ni mchungu lengo mufikie malengo... Chadema kinaongozwa toka juu hakina hata wajumbe wa mashina katika vijiji... Ndomana hata kwenye kampeni za madiwani viongozi wa kitaifa ndo wameenda fanya kampeni.. Lakini ccm hawapo hivyo wanaotekeleza sera za ccm wako chini na wanawaminiwa hadi wanawaachia kufanya kampeni.
Vijijini ccm imetapakaa kila kona lakini CDM iko taifa tu....
Nafikiri mtakuwa mumenielewa post yangu badala ya kutoa matusi...
Chadema bado saa msiwaze kuchukua nchi leo wala 2015 kwa sanduku la kula labda 2060 huko..
 
Tatizo lako Kibe heading yako imekaa hovyo,ila hayo unayoyaeleza ni sahihi na makamanda wapo kazini,subiri ujionee 2015 If God wishes.

Nirudi katika Heading yako,Hivi wewe unavaa suruali kutokea wapi? Maana eneo la juu la suruali ni katika kiuno ,Sasa hao unao sema wapo sahihi wanaanzia katika miguu,kiunoni itafika kweli? Tumia dakika chache kufikiria heading yako ikae vipi ndipo uandike! Misemo inawenyewe hii jamani.
 
Nafikiri mumenielewa chadema.... Huo ndo muondo wenu wa chama kwa hiyo kamwe hamtaweza ongoza nchi hii kwa sanduku la kura kwa muundo huo....tofauti na ccm .

Why kila siku mnaiota CHADEMA tu nyie watu? Kwani hakuna mengine ya kudiscuss au ndo tuseme CDM inawanyima hata usingizi? Maana kila member wa CCM saiv ni kama msemaji wa CDM,Acheni hizo fanyeni kazi na mtimize ahadi kama 100 mlizotoa ktk uchaguzi uliopita,vinginevyo judgement day inakuja 2015.
 
Kwani mbona kila kukicha post za ccm ndo nyingi humu jf inakuwaje wakisemwa cdm iwe nongwa..acheni siasa za maji taka pokeeni ukweli hata kama mchungu ..cdm naongozwa taifa na c kutokea chini mana hata wenyeviti wa vitongoji wa cdm vijiji hakuna nchi nzima hata dar tu hapo hakuna labda moshi,arusha na mwanza kidogo
 
WATU MKISHA PEWA NA CCM POMBE ZA KIENYEJI NA PILAU ...............MNASAHAU KILA KITU....ACHA WAWAAHIDI NA MAHAKAMA ZA kidini
 
Why kila siku mnaiota CHADEMA tu nyie watu? Kwani hakuna mengine ya kudiscuss au ndo tuseme CDM inawanyima hata usingizi? Maana kila member wa CCM saiv ni kama msemaji wa CDM,Acheni hizo fanyeni kazi na mtimize ahadi kama 100 mlizotoa ktk uchaguzi uliopita,vinginevyo judgement day inakuja 2015.
Kwani hujawagundua hawa cdm inawanyima usingizi Ndio maana wanahangaika nayo it has really become a threat kwao yetu macho tu
 
tatizo la chadema narudia tena pokeeni ukweli hata kama ni mchungu lengo mufikie malengo... Chadema kinaongozwa toka juu hakina hata wajumbe wa mashina katika vijiji... Ndomana hata kwenye kampeni za madiwani viongozi wa kitaifa ndo wameenda fanya kampeni.. Lakini ccm hawapo hivyo wanaotekeleza sera za ccm wako chini na wanawaminiwa hadi wanawaachia kufanya kampeni.
Vijijini ccm imetapakaa kila kona lakini CDM iko taifa tu....
Nafikiri mtakuwa mumenielewa post yangu badala ya kutoa matusi...
Chadema bado saa msiwaze kuchukua nchi leo wala 2015 kwa sanduku la kula labda 2060 huko..
Upo sahihi kabisa, na ndio maana chaguzi za UVCCM huishia kutwangana mangumi na kutoleana mitusi wakituhumiana rushwa mpaka za ngono huku mwenyekiti wa chama akiwashangaa wanawake wa CCM (UWT) kuwa nao vinara wa rushwa!
 
tatizo la chadema narudia tena pokeeni ukweli hata kama ni mchungu lengo mufikie malengo... Chadema kinaongozwa toka juu hakina hata wajumbe wa mashina katika vijiji... Ndomana hata kwenye kampeni za madiwani viongozi wa kitaifa ndo wameenda fanya kampeni.. Lakini ccm hawapo hivyo wanaotekeleza sera za ccm wako chini na wanawaminiwa hadi wanawaachia kufanya kampeni.
Vijijini ccm imetapakaa kila kona lakini CDM iko taifa tu....
Nafikiri mtakuwa mumenielewa post yangu badala ya kutoa matusi...
Chadema bado saa msiwaze kuchukua nchi leo wala 2015 kwa sanduku la kula labda 2060 huko..
.Ndio maana sina chama.kila kukicha matusi na jazba hata kama kunaukweli ndani yake
 
Kiuhalisia,sijawahi ona suruali za c.cm sijui mna akili gani gani kuvaa kofia,t-shirt/shirt na kubebeshwa vitambaa huku masaburi nje nje bila suruali,vipi mnatangaza ukameruni? Jifunzeni toka CHADEMA full gwanda wenyewe mnaipenda
 
tatizo la chadema narudia tena pokeeni ukweli hata kama ni mchungu lengo mufikie malengo... Chadema kinaongozwa toka juu hakina hata wajumbe wa mashina katika vijiji... Ndomana hata kwenye kampeni za madiwani viongozi wa kitaifa ndo wameenda fanya kampeni.. Lakini ccm hawapo hivyo wanaotekeleza sera za ccm wako chini na wanawaminiwa hadi wanawaachia kufanya kampeni.
Vijijini ccm imetapakaa kila kona lakini CDM iko taifa tu....
Nafikiri mtakuwa mumenielewa post yangu badala ya kutoa matusi...
Chadema bado saa msiwaze kuchukua nchi leo wala 2015 kwa sanduku la kula labda 2060 huko..

Hoja unayo lakini unaeleza manusunusu kama una haraka sana, tulia, jenga hoja wanaume tukuelewe kwani majibu ya maswali yako yote yanapatikana CDM. Ujenzi wa chama kuanzia mashinani waja, lakini hebu tupiogie makofi kwa mafanikio yaliyopatikana hadi sasa. Yaani tumewachelewesheni sana make hata ninyi (including Nape) hamkutegemea kupata matokeo hayo japo ni dhaifu. Anyway time i coming ....sooon and very soon.
 
tatizo la chadema narudia tena pokeeni ukweli hata kama ni mchungu lengo mufikie malengo... Chadema kinaongozwa toka juu hakina hata wajumbe wa mashina katika vijiji... Ndomana hata kwenye kampeni za madiwani viongozi wa kitaifa ndo wameenda fanya kampeni.. Lakini ccm hawapo hivyo wanaotekeleza sera za ccm wako chini na wanawaminiwa hadi wanawaachia kufanya kampeni.
Vijijini ccm imetapakaa kila kona lakini CDM iko taifa tu....
Nafikiri mtakuwa mumenielewa post yangu badala ya kutoa matusi...
Chadema bado saa msiwaze kuchukua nchi leo wala 2015 kwa sanduku la kula labda 2060 huko..

Yaani kama nakuona vile jinsi CDM inavyokujambisha!!!
 
Back
Top Bottom