Jamani mbona kila mtu ananikopa ela nina tatizo gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani mbona kila mtu ananikopa ela nina tatizo gani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Apolinary, Oct 31, 2012.

 1. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Habar wana bodi naombeni ushauri ndugu zangu kila siku watu wanakuja kunikopa pesa sijui wananiona au wanaenda kupigiana stor leo yenyewe kiasi ya watu 5 wamekuja wakitaka niwakopeshe pesa wa kwamza anataka elf 60 wa pili anataka elf44 wa tatu anataka elf 10 wa nne anataka 50 cha kushangaza zaidi huyu wa 5 anataka milion 3 nini tatizo jamani
   
 2. GOOGLE

  GOOGLE JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 29, 2012
  Messages: 1,888
  Likes Received: 712
  Trophy Points: 280

  Aisee pole saana kiongozi lakin hiyo pia ni ishara njema kuwa watu wanakukubali na wanaamini unaweza kuwasaidia japo wewe pengine unaji underestimate kuwa uko wa kawaida lkn watu wao wanakuona your valuable resource to them kama ilivyo Tanzania kwa nchi za ULAYA. Hata mimi naomba unikopeshe kama laki5 nasubiria PM yako.
   
 3. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,079
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  kwikwiwiwiw haya mambo ya baba kokuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu ni noma sana.
   
 4. M

  Museven JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 22, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Umezidi kujishebedua na kujifanya unazo sana ndo mana wanakuja kukopa wakidhan kweli zpo, kumbe ww pia unaganga km wao
   
 5. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  We ni mhaya weeeee ndio mambo yao hayo
   
 6. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,177
  Trophy Points: 280
  As a rule of thumb.

  Uwezo wa mtu unaendana na idadi ya watu wanaomtegemea.

  Ingawa pia, uwezo wa mtu hushuka baada ya kubeba mzigo unaomzidi.

  Mikopo yako ina riba? Ina rehani? Labda unapoona tatizo kunaweza kuwa na nafasi ya kujenga mtandao wa benki ya kijumuia, ingawa hilo huchangia kupoteza marafiki na jamaa kwani wengine ukiwadai hata salamu itakuwa shida.

  Piga hesabu, kwani "Mali bila daftari, hupotea bila habari".

  Na zaidi ya yote, ukiona unaelemewa au watu wanataka kukucheza shere, usione muhali kusema "sina" au "nimebanwa na majukumu mengine".
   
 7. charger

  charger JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,324
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Sio 'ela' ni 'hela'.sasa siungewauliza hao wanaokukopa wangekupa jibu muafaka,unatuuliza sisi tuliwahi kukukopa?
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  unanukia hela nini?
  Au inajishaua kuwa unazo?
   
 9. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Huwa inatokea aisee tena ukajikuta unashangaa hivi kulikoni? Ilishanitokea hiyo kitu kwa siku moja nilifatwa na watu 3 wote wanataka niwakopeshe pesa. Huwezi amini niliwatolea nje wote maana nimeshaingizwa mjini sana other wise mtu awe na dhamana!!....Sipendi kero ya kumfatilia mtu eti namdai pesa!!:doh:
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,297
  Likes Received: 22,075
  Trophy Points: 280
  Wee si unajiita tupatupa??
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  dawa wakija waambie huna.... Tena anza kuwaomba hela...
   
 12. Nokla

  Nokla JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 2,121
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  Wanakukopa hela kwa sababu unamihela!
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,269
  Trophy Points: 280
  JF sasa inapoteza mwelekeo, hili nalo la kulileta hapa?

  Halafu badilisha heading ya hii thread yako ya kijinga, mimi sijawahi kukukopa, sasa unapata wapi uhalali wa kusema kila mtu anakukopa?
   
 14. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Mna uso wa fedha nyie.
   
 15. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Wabongo kwa misifa. Tutajuaje kama wewe ndiye unawakopa? Maana habari kama hizi huwa hazina source zaidi ya mwenye kuzitunga na kuzisambaza. Hili nadhani ni suala la binafsi ambalo halipaswi kukanyaga JF. Vinginevyo tukubaliane kuwa mwe nye kuleta uzi ni kama hana la kutundika hapa lenye maana kwa jamii. Wakukope wewe benki?
   
 16. M

  Mundu JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Nadhani maisha yamekuwa magumu ile mbaya hapa nchini...Kuna watumishi wa Serikalini hadi leo hawajapata mishiko yao...sasa hapo wataacha kukopa? na hata wanachokipata pia hakiwatoshelezi.

  Na mara nyingi mtu anayefuatwa ni yule muungwana, anayejua shida za wenzake, na asiyependa makuu..ambaye akimstiri mtu leo, kesho huwezi kumsikia amemtangaza mdeni wake vijiweni.

  Kaka kama una uwezo na unajua wandugu wana shida za dhahri, tafadhali wasaidie. Ila kuwe na commitment ya kulipa kwa siku mliyokubaliana. Kuna mtu amesema hapo juu, weka kumbukumbu zako vizuri kwani mali bila daftari, hupotea bila habari.
   
 17. J

  Jackson Temu Member

  #17
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Na azowakopesha vicheche mbona hasemi?
   
 18. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Aisee jamaa angu nikopeshe kama kilo hivi. Mwisho wa mwezi nakurudishia kilo na ishirini
   
 19. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Umehonga ngapi?
   
 20. R

  Richard Nguma Member

  #20
  Nov 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi wanakuja wengi tu ninachofanya ni hivi:
  Kama anakopa 50,000tshs mimi namwambia sina hicho kiasi lakini nakupa 20,000 for free
  Hamna cha kudaiana.na anashukuru.akija wa millions nafungua safe namwonyesha mkataba wa bank kwamba nilikopa bank nyumba nimeacha rehani anaridhika :)
   
Loading...