VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Katibu wa Jumuiya ya Waislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, yuko mbioni kuachiwa kwa dhamana muda wowote kuanzia sasa.Taarifa zilizonifikia toka vyanzo vyangu vya uhakika vya Polisi,Usalama wa Taifa na Chama cha Mapinduzi zinasema kuwa Sheikh Ponda atalegezewa masharti ya dhaman ili aachiwe.
Hatahivyo,Polisi wanaandaliwa kudhibiti hali itakayojitokeza siku atakapoachiwa Ponda.'Kila jambo lina wakati wake.Sheikh Ponda ataachiwa kwa dhamana hivi karibuni.Hali inaimarika kila kukicha' alisema Afisa mmoja wa Usalama wa Taifa. ' Kuana maandalizi ya kiintelijensia yanamaliziwa.Baada ya hapo,kila kitu kitakuwa sawa' aliongeza.Afisa huyo alisema hayo baada ya mimi kumdadisi juu ya ni kwanini Ponda bado hana dhamana ili hali makosa anayoshtakiwa kwayo yanadhaminika. Ni suala la muda tu