EWURA imeshindwa kazi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

EWURA imeshindwa kazi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kazikubwa, Oct 31, 2012.

 1. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Leo Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini ameiagiza EWURA kuchukua hatua dhidi ya wauza mafuta wanaofanya mgomo baridi. Hivi kila mara hii EWURA mpaka ikumbushwe wajibu wake, kuna nini huko?
   
Loading...