Hivi hii ni kweli kwa wanawake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi hii ni kweli kwa wanawake?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Katufu, Oct 31, 2012.

 1. K

  Katufu JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 433
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Leo mida ya saa 11 kasoro nilikuwa kwenye daladala kutoka Mwenge kuja Posta. Katika mazungumzo ya hapa na pale alikuwepo askari wa JWTZ akadai kwamba wanawake na wanaume wako sawa. Ila kuna mambo mawili mpaka sasa katika historia yamewashinda wanawake:
  1. Mwanamke hajawahi kuendesha KIFARU akaweza, akasema nchi zote kuanzia Wayahudi (Israel) mpaka Marekani wamejitahidi majike dume wote lakini so far wamechemsha.
  2. Mwanamke hajawahi kuwa katika kikosi cha kufyatua MIZINGA ya kivita na akaweza. Akatolea mfano kwamba walikuwa Afrika Kusini jike dume mmoja likabisha na unaambiwa huyo mama alikuwa strong si mchezo. Lakini unaambiwa baada ya kufyatuliwa mizinga miwili alianguka na kuzirai mpaka akalazwa hospitali.
  Akasisitiza kwamba hizi habari ni za kweli yaani hakuna documented evidence kwa wanawake kufanya mambo hayo mawili wakaweza.
  Haya magreat thinkers hebu tulidadavue na kulipekuapekua ili kujua ukweli wake.

  Nawasilisha.
   
 2. C.K

  C.K JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  kumbee..!
   
 3. f

  filonos JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  wqtweza wakiwezeshwa
   
 4. Life.co.tz

  Life.co.tz JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 618
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 80
  Roho zinawauma kwamba Bomu hilo linapotua kina Mama, Watoto, Wazee wasio na Hati wanakufa bila Hatia.
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Wanaume nao wameshindwa kipi ambacho wanawake wanakifanya?
   
 6. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  "P Square" wameimba 'What a man can do,a woman can do ....! Inabidi warudie utafiti wao,waje na single nyingine!
   
 7. gobore

  gobore JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 730
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Kwa "uzoefu" wangu kweli sijawahi kuona wanawake wakiendesha tanks na pia najua kuna sehemu nyingi tu hawaruhusiwi jeshini haswa special ops. Ila kazi nyingine kibao hatuziwezi ni kwa wanawake tu! Kwahiyo ni mgawanyo wa majukumu tu
   
 8. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Angel labda wewe kwa uzoefu wako ndio utuambie ni kipi ambacho wanawake wanaweza lakini wanaume wameshindwa.
   
Loading...