maandamano ya waisilamu ya hapo kesho na kesho kutwa.......jijini dar es salaam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

maandamano ya waisilamu ya hapo kesho na kesho kutwa.......jijini dar es salaam

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by C Programming, Oct 31, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,750
  Likes Received: 1,783
  Trophy Points: 280
  asalam alekum ndugu zangu waisilamu.......

  nimesikia kesho na kesho kutwaa tunatakiwa tunaandamane......wenye details kuhusu maandamano haya:

  1.yataanzia wapi kuelekea wapi...........

  2.madhumuni ya maandamano haya ni nini.......

  3.tutaanzia sehemu gani kuelekea wapi...........


  wenye details kuhusu haya...maandamano.....tupeni ripoti
   
 2. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...tumeghairi na tumemwachia Allah.
   
 3. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Mnataka mjue afu mtutwange mabomu?hamtajua saa wala siku.
   
 4. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,094
  Likes Received: 506
  Trophy Points: 280
  Washauri wasiandamane TUDUMISHE amani
   
 5. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,750
  Likes Received: 1,783
  Trophy Points: 280

  tunapigania diniiiiiii
   
 6. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,642
  Likes Received: 2,876
  Trophy Points: 280
  Mimi sijajua yataanzia wapi, hapa msikitini kwetu wametuambia tujiandae tu. Lakini ninachojua yataishia Segerea au Keko
   
 7. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,642
  Likes Received: 792
  Trophy Points: 280
  Umetumwa??? au ni umbea wako tu! hata na hivyo acha tu nikupe ratiba yataanzia kwa Meck sadiq na kuishia kwa Kova
   
 8. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  yataanzia kwa mahakama ya hakimu mkazi na yataishia segerea...wote mnakaribishwa njooni na watoto zenu ndugu zenu wake zenu wote wajumuike nanyi
   
 9. M

  Michael Mwakyusa JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 307
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Tuache tupumueeeeeeeeeeeeeeee
   
 10. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,164
  Likes Received: 10,511
  Trophy Points: 280
  Kwi kwi kwi kwi.....
   
 11. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,164
  Likes Received: 10,511
  Trophy Points: 280
  Wasisahau ubwabwa utapatikana soon baada ya swala, bahati iliyoje..
   
 12. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  hapa sina cha kuchangia zaidi ya kucheka
   
 13. M

  Michael Mwakyusa JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 307
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Tuache tupumueeeeeeeeeeeeeeee
   
 14. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Nasikia kuna silaha zimefichwa misikitini?kweli?
   
 15. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,808
  Likes Received: 2,583
  Trophy Points: 280
  Assalam Alaikum C Programmer kesho hamna mandamano ila ijumaa bab kuba mtoro hadi ikulu.
   
 16. v

  valid statement JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Kama hata ratiba hujui yanini upoteze mda kuandamana?
  Huko ni kukosa cha kufanya
   
 17. m

  msemakwelii JF-Expert Member

  #17
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 217
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Najua maandamano yataanzia majumbani na sehemu za kazi za waislam na kuishia Misikitini, ila kwenye barabara za Kova, babu weeee nani anataka ku Pondaaazii
   
 18. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Kweli nimeamini ujinga ni mzigo bora gunia la misumari kichwani
   
 19. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  kwani haya maandamano ni ya afrika mashariki?upo kenya vya huku vinakuhusu nn?mchonganishi mkubwa wewe
   
 20. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #20
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Kwani unahitaji kujua dhumuni la maandamano?
  Kaka wewe ni mwislam safi unatakiwa uelekee kibla tu unapoona wenzako wanaelekea huko.

  Takbirrrr.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...