Serikali kupitia taarifa ya habari kwa vyombo mbalimbali leo imesema hakuna upungufu wa mafuta nchini mwetu,na kutoa agizo kwa mamlaka zinazohusika kufuatilia suala hilo kwa makini zaidi na ikiwezekana kuwafutia leseni wadau wote wa mafuta wanaoficha bidhaa hiyo muhimu kwa watanzania.
Tujiulize hivi kweli hawa wauza mafuta tatizo liko wapi? na serikali yetu ya Tanzania iko wapi kutatua mgogoro huu unaotokea mara kwa mara bei inaposhushwa na mamlaka husika?
Tujiulize hivi kweli hawa wauza mafuta tatizo liko wapi? na serikali yetu ya Tanzania iko wapi kutatua mgogoro huu unaotokea mara kwa mara bei inaposhushwa na mamlaka husika?