kauli hizi za wasemaji wa Polisi au wakuu wa Polisi Mikoa (RPCs) zimekuwa zikinipa utata mkubwa!
utasikia: usiku wa kuamkia leo.. polisi walipambana na Watu wanaosadikiwa kuwa Majambazi
na vijana...
Nimewiwa kusema nahisi viongozi wa tff ni wendawazimu wote ama wamechanganyikiwa kabisa
hivi karibuni kulitokea matatizo kwenye uchaguzi wa drfa mchakato wake ikafikia kamati ya uchaguzi...
- Hongereni Wana-CCM wote mlioko kila kona za online political activism, ninafarijika na jinsi recently ambavyo tumekuwa tukjibu mashambulizi ya ndugu zetu wa upande wa pili, in many cases siku...
Namshukuru Mungu wa mbinguni kwa kutupa siku nyingine tena. Ninaomba wataalamu wa mambo ya mimea wanisaidie aina ya miti inayofaa kwa kivuli ambayo haina athari kwa ukuta hata kama ikiwa karibu na...
Wana JF naomna tujadili matokeo haya je yanasadifu ukilinganisha na huku tunakoishi. itaweka attachment hapa
http://www.moh.go.tz/MATOKEO_YA_UHAKIKI_WA_MASHINDANO_YA_USAFI_WA_MAZINGIRA_2012.pdf...
Kwa mara ya kwanza Tanzania kupitia Benard Membe imesema iko tayari wakati wowote kujiingiza katika vita vya DRC kwa lengo la kumsaidia Joseph Kabila dhidi ya waasi wa M23, chini ya mpango...
Rais Banda Malawi ameanza kutoa Rushwa ya Chakula kwa wapiga Kura.Anafanya hivyo kwa kuwadanganya watu kuwa anatoa kwa watoto Yatima. Anafanya uongo huu kama Mama Rwakatare anavyodanganya hapa TZ...
Since USA has become the world economic superpower am much proud and pleased wit it being the world largest economy due to its global role in various matters which may either be political...
ni kazi sana kuitetea ccm ama kuwa ccm hapa Tanzania ..mtu unapata shida sana kila sehemu ..huyu Willie nawapa miezi miwili lazima ajivue gamba ..karibu sana chadema jisikie uko nyumbani...
Hali ya maisha hapa nchini hubadilika day to day,kiukweli hali ni ngumu.na ukiangalia viongozi we2 wanasema hali ya ugumu wa maisha imepungua kwa kiac kikubwa.so wapi tunaenda?
ZIMEZUKA habari zenye utata ambazo hazijathibitishwa mkoani Iringa kuwa mtoto mmoja anayedaiwa kufa na kuzikwa kuonekana leo akidaiwa kuwekwa Msukule.
Tukio hilo limetokea eneo la Mwangata...
Nimepata kumsikia Rais Thabo Mbeki akilaumu tataizo la wazee kuendelea kutawala kwamba ndicho chanzo cha kukwamisha maendeleo kwa nchi za Afrika.Siko katika lengo la kupinga mawazo yake bali...
Tena iwe ya UDSM, yaani mpaka inakera iwe kapata kazi huko kazini watamkoma. Au iwe anaishi uswazi ndio balaa. Hivi kweli kupata degree ndio kila kitu hapa bongo? Hata akiongea au mkibishana...
Wakuu wa JF:
Katibu Mkuu wa CCM Abdulhaman Kinana na Katibu Mwenezi wa CCM Nape Nauye hivi sasa wako kwenye uwanja wa Kalangalala mjini Geita wakiwahutubia wananchi wa wilaya ya Geita na Mkoa...
Serikali ya Kenya imepiga marufuku mara moja uagizaji wa vyakula vya GMO ,kwa kuhofia ongezeko la ugonjwa wa kansa nchini humo.Hata mie wakati wote hivi vyakula nina wasiwasi navyo ingawa sijui...
BINAFSI NAPATA TABU NA HIKI CHAMA WANACHOSEMA PENDWA... DR.SLAA KAKOMA NA KUTOA ONYO KALI IKIGUNDULIKA MADIWANI WAKE 7 WALIHUDHURIA UZINDUZI WA JIJI HILO WATAKUMBANA NA ADHABU KALI... SASA NAULIZA...