Ndugu Yetu Major Kilindo wa Sinza Kwa Remmy Ametutoka

Ngwanakilala

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2011
Messages
698
Points
1,000

Ngwanakilala

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2011
698 1,000
Ndugu zangu leo nasikitika kuwataarifu kuwa Ndugu yetu Major Kilindo wa sinza kwa Remmy ( na mapambano) ametutoka leo kwa ugonjwa wa kansa

Msiba uko lwao sinza mapambano

Rest in peace brother Major!
 
thatha

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Messages
15,346
Points
1,500

thatha

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2011
15,346 1,500
Huo ni wasifu wa kijeshi ama ni jina tu
hapana. Major ndiyo jina alilopewa na wazazi wake, baba yake ambaye ni marehemu alikuwa mwanajeshi na mpaka anafariki alikuwa na cheo cha colonel wa JW. Marehemu Meja ni kijana maarufu sana mitaa ya Sinza alikuwa mcheshi na mtu wa kujichanganya sana. Pia Dodoma anafahamika sana, aliishi kule miaka mitatu akiwa mwanafunzi wa CBE
 
mpenda pombe

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Messages
1,284
Points
2,000

mpenda pombe

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2010
1,284 2,000
hapana. Major ndiyo jina alilopewa na wazazi wake, baba yake ambaye ni marehemu alikuwa mwanajeshi na mpaka anafariki alikuwa na cheo cha colonel wa JW. Marehemu Meja ni kijana maarufu sana mitaa ya Sinza alikuwa mcheshi na mtu wa kujichanganya sana. Pia Dodoma anafahamika sana, aliishi kule miaka mitatu akiwa mwanafunzi wa CBE
Mungu ailaze mahali pema peponi roho Ya Major... Nimemjua Major nikiwa CBE DODOMA...
 
Forum statistics

Threads 1,389,135
Members 527,854
Posts 34,018,019
Top